Mahitaji gani yanatakiwa kuhamia Canada kwa nafasi walizotangaza

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,178
7,869
Wakuu, Kama mnavyofahamu Canada imetangaza inahitaji watu wa kwenda kuishi huko, nami naomba kujua taratibu za kufuata ni zipi kulingana na hiyo offer? Ahsanteni.
 
Katika maisha yako yote umewahi kwenda canada??!!?..je una ndugu anayeishi canada??!!

Tuanzie hapo kwanza.
 
Soma hilo tangazo info zote zinapatikana hapo. Au tembelea ubalozi wa Canada utapata maelezo pia.
 
Binafsi na mimi nataka kwenda huko ila sijui pa kuanzia ila ndoto za kwenda canada kila siku naziota i wish siku moja zitimie .😌
 
Soma hilo tangazo info zote zinapatikana hapo. Au tembelea ubalozi wa Canada utapata maelezo pia.
Sijaona tangazo lolote bali nimesikia kwenye redio na hawakusema requirements zozote, Kama unafahamu nisaidie tafadhali au nipe link ya hilo tangazo
 
Wakuu, Kama mnavyofahamu Canada imetangaza inahitaji watu wa kwenda kuishi huko, nami naomba kujua taratibu za kufuata ni zipi kulingana na hiyo offer? Ahsanteni.
Nenda Dodoma ACHA ...WEWE
MAISHA YAKOO DOM SIKUHIZI
 
Katika maisha yako yote umewahi kwenda canada??!!?..je una ndugu anayeishi canada??!!

Tuanzie hapo kwanza.
Hii ninmoja kati ya changamoto zinazo tukabili sisi wa Tz, negativity + pestimism, mbona raia wa mataifa wenzetu jirani wana fakamia nafasi kama izi zinapotoka na wananpeana details bila kukatishana tamaa
Acha iyo kitu mdau,
 
Unajua kabla ya kushutumu mtu,uwe umeelewa kwanza..huyo mdau kaulizia requirements,yaani vigezo vinavyohitajika ili kutumia fursa iliyotangazwa na wacanada..hizo mbili ni baadhi tu ya requirements zihitajikazo...labda we ulitaka nimjibu vipi!??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom