Tetesi: Tenda zote za Serikali na makampuni binafsi kuwa monitored na serikali, mawakala binafsi hawana nafasi tena

Kila likiisha jambo linakuja lingine,

Kwa habari zilizopo ni kwamba kunaandaliwa utaratibu maalumu wa kuwa na watu maalumu kwa ajili ya tenda mbali mbali kwa sekta zote, hospitali, shule, na makampuni mbalimbali ya nchini tender zote zitapitia kwa wakala wa serikali atakaye kuwa apointed

Nje ya tetesi kwa makampuni mengine ila
Kwa uhakika zaid kwenye shule zote za binafsi na serikali wameshapelekewa form za kujaza tokea mwaka jana ila haikuwa implemented,
Sasa kazi inaanza, achia mpango wa watumishi kuwalazimishwa kutumia Posta na TTCL,

Hutaruhusiwa kununua Hata sindano mfano kama una dispensary yako, ni mpaka uigaze kupitia kwa wakala,

Ukitaka madaftari kwa ajili ya shule yako inabidi ununue kupitia kwa wakala,

Inamaana wale mawakala wa usambazaji wa vifaa vya maabara, shuleni, madawa, samani na vingine vyote ulaji wao ndo unafungwa hivo

ANGALIZO
MPANGO HUU WA SERIKALI UTAFELI TU MAANA NIA NI KUFANYA KUTUNISHA MFUKO WA HUYO ATAKAYEKUWA WAKALA,

PIA SERIKALI IACHE HASA KUCHUKIA MASHIRIKA BINAFSI,

HATUSHINDANI KWA KUCHEZEANA FAUL, ILA NI KWA KUBORESHA MAZINGIRA,

Britannica
Mitano Tena
 
Five moo
Hapa ndio wale wanaoshabikia vyama vya upinzani kufa wajue hatari itakayowakabili pindi hilo likitimia.

Sasa hivi kuna kodi nyingi zinaendeshwa kimya kimya kibabe na hakuna ruhusa ya kuongea wala chombo chochote cha habari kuripoti.

Uchumi umeyumba vibaya sana na waliotaka sifa hawana ujanja, namna pekee ni ni kupora hela za wananchi kwa kodi za kitapeli.

Haya yanayoendelea yatakaa wazi tu pindi mishahara itakapooacha kulipwa. Yajayo yanasikitisha.
 
mawakala, mawakala.....Rais JPM aliwahi kusema kuwa aliona jina la Mama yake kwenye orodha ya wanufaika wa vocha za pembejeo za kilimo, na alipomuuliza mama ulipewa lini vocha za pembejeo? Mama akamjibu vocha ya Vodacom au ttcl? Kumbe wajanja walishafanya yao....Kuna mawakala sio wezi ila jinsi ya kuwatambua...piga chini wote kuanza upya sio Ujinga, hizo sio zama za janja janja ya wabongo!( Mimi pia nakiri niliwahi kula hela za hati punguzo za vyandarua)
 
mawakala, mawakala.....Rais JPM aliwahi kusema kuwa aliona jina la Mama yake kwenye orodha ya wanufaika wa vocha za pembejeo za kilimo, na alipomuuliza mama ulipewa lini vocha za pembejeo? Mama akamjibu vocha ya Vodacom au ttcl? Kumbe wajanja walishafanya yao....Kuna mawakala sio wezi ila jinsi ya kuwatambua...piga chini
Sawa mitano Tena mpaka muone ubaya wa yesu mliemtengeneza
 
tatizo letu tanzania kila kitu siasa.mtoa mada hujasema waz ni shetia mpya? huenda ipo kwenye makaratasi miaka na miaka na sasa inataka kusimamiwa unaanza kutisha watu.ma nchi yalionendelea unafikiri ishu nyeti mfano madawa uachwe tu uagize agize tu bila kuwa monitored na vyombo? acheni wataalamu wafanye kazi Tanzania ina sheria ikianza kuzifatilia makelele kibaoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom