Hii ni riwaya mpya ambayo itakuwa inawajia hapa kila ifikapo saa tatu usiku. Inaitwa MWALIMU WA ZAMU mwandishi wake ni JOHN WISSE
SEHEMU YA KWANZA
Usingizi unamruka. Anaamka na kuketi kitandani. Anatafakari mengi, lakini jicho lake linaishia kwenye saa iliyo ukutani. Ni saa kumi na nusu—bado...
Hakika ni HUJUMA. Unaweza kuipata nakala kwa sh. 4000 kwani 4000 nyingine nitailipa kwa maana umejibu sahihi. NA UTAKUWA wa mwisho kujishindia nafasi hii.
Ni riwaya gani ya A.E MUSIBA ambayo ilizuiliwa kabala hata ya kuchapishwa na imetoka hivi majuzi kupitia kampuni ya Orion Nairobi Press?
Mimi mdau wa vitabu sana. Atakayejibu kwa usahihi na wa kwanza, nitamzawadia kitabu hicho maramoja. Awe jijini Dar es salaam.
JE, UNATAKA KUPATA NAKALA YA JOHN WISSE (BROKEN CAMPUS RULE) BURE KABISA?
Niambie nikuletee weekend hii, utanilipa nauli tu basi.
Kwa wakazi wa Dar es salaam pekee!!! Nakala zipo 10 tu!
Leo nilikuwa nasaka kitabu kipya chochote cha kusoma, ila kiwe cha kipelelezi na mapigano, nikakutana na kitabu kipyaaaa! Quality nzuri cha Musiba kiitwacho hujuma. Kilikuwa kimefungiwa kitabu hiki miaka ile ya wahujumu uchumi dhidi ya ujamaa. Nikamuuliza muuzaji wake akasema kimetokea KENYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.