Recent content by mshikamano daima

  1. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Fungua biashara ndogo isiyozidi nusu ya hela uliyonayo then isimamie mwenyewe... Utaona returns nzuri tuu....biashara zote in nzuri kikubwa ni usimamizi.
  2. M

    Nchi gani Afrika ina JESHI hatari la ardhini?

    Jamani Mimi sijui ila nadhani tz. Au??
  3. M

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Nguvu yake kwa mbali inataka kufanana na ya chadema.... Fikiri chama kimeanza juzi ila kina nguvu
  4. M

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Ushauri Wa pasco sio wa kupuuzwa....act sio chama cha kupuuzwa...simaanishi in chama bora kuliko cdm. Hapana ila kinaweza kuwa threat kwa cdm. Cdm watch out
  5. M

    Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

    Sasa ndugu yangu...mimi sikatai kwamba hujawaona ila ulitakiwa kutoa taarifa polisi
  6. M

    Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

    Mbona mnaturusha roho na habari hizi....hapo hujatoa msaada wowote na Wewe sio RAIA mwema. Kama RAIA mwema ungetoa eneo na ungetoa taarifa polisi
Back
Top Bottom