Recent content by mshangao

  1. M

    Hivi wanasheria wa Tanzania wote ni vilaza?

    Chonde chonde rafiki yangu, rungu hiyo naomba uanze na watu wa maji. haya ya dowans mnapoteza muda, mutakilana bure... Tanesco hawana Hatia.... Wao walijiosha mapema.. hawahusiki kabisaaa..... Mambo haya yana wenyewe.. ninaposhangaa muhusika anaendelea kula kuku.. Sita anasema mtu huyu ana...
  2. M

    Hii Imekaaje Wapendwa

    Kama mtihani nyote mungefeli..... ulizeni kwanza... sababu ya kuachana na nani alimuacha mwenziwe.... msitoe majibu ya hisia.
  3. M

    Nashangaa tunataka kuwauwa tanesco, na hawa wa maji je...?

    Dimegasa asante kwa kujibu. Watu hesema mcheza kwao hutuzwa... watu mahali walipo na ofisi yao, kampuni yao ya kuchimba visima, chuo chao, nk....yaani nyumbani kwao hawakerwi na ukosefu wa maji for takriban 20 years, ina maana watoto wao kama hawajaenda Boarding school nje ya Dar, hawajawahi...
  4. M

    Nashangaa tunataka kuwauwa tanesco, na hawa wa maji je...?

    Nitashukuru kama watajibu na nitashangaa kweli.... maana njua hawana majibu. Kila ikikaribia february.. wanatangaza programu ya maji.. bajeti yao ikipita wanaingia mitini.. mi naomba... pigeni kelele jamani ...wamelala hao bro...
  5. M

    Nashangaa tunataka kuwauwa tanesco, na hawa wa maji je...?

    Wapendwa wana JF, ni kweli Tanesco wanatukosea mengi, kama ilivyo kila chombo cha selikali yetu, lakini ebu angalia wamesambaa hadi wapi, mtandao wa umeme mkubwa kiasi gani, kisha jaribu kufikiria gharama za mtandao angalau kwa kilomita moja ya 33KV ni kiasi gani achilia mbali 132 na 220 KV na...
Back
Top Bottom