Hivi wanasheria wa Tanzania wote ni vilaza?

This is a joke. nina uchungu yani naombe nipewe hii nchi kuiongoza hata kwa mwezi mmoja tu ndo watajua. (a dream so sweet oh lord)

we carmel au nkuite ngamia kabisa, acha kusema hivo kwa wanasheria.tatizo kubwa ni kutokuwa wazalendo.kila mtu anataka ten percent awe mchumi,mwansiasa, injinia nk tungekuwa na uchungu au uzalendo tusingefika kote huko.kua kitu hujui a lawyer should serve the interest of his/her client, public and a court as well., lkn hawafanyi hivo wao wanajali maslahi ya client wao basi potelea mbali.kwan mzee kifimbocheza wa kule mara si wamjua?ni mikataba mingapi alipewa na Nyerere wkt ule aisimamie ndo huko alipoibukia yy hakujali nchi ianufaika vipi na wengineo wanatabia hizo hizo sio kuwa ni vilaza wanajua kabisa tatizo ni matumbo yajae kwanza mabaki yatajulikana baadae.
 
we carmel au nkuite ngamia kabisa, acha kusema hivo kwa wanasheria.tatizo kubwa ni kutokuwa wazalendo.kila mtu anataka ten percent awe mchumi,mwansiasa, injinia nk tungekuwa na uchungu au uzalendo tusingefika kote huko..

Point, thats it. Na kuongezea tu ni kwamba watanzania wazalendo na wenye uchungu wa nchi hii walishakufa, waliohai wakikusanywa na kuambiwa waende safari wanaweza kukaa bila kubanana kwenye toyota coaster.
 
Please take no offence, i am just suprised on what is happening in this country with issues concerning International contracts? We always loose as a result of failing to negotiate or being forced to enter into fake, or unfair contracts in most of the sectors. What is the problem?
Ist it that we have bogus lawyers as well? are they all fake? aren't they learned as they claim to be?... and our universities..are they producing fake lawyers who understand nothing? where is pride they want us to believe that them lawyers have got?
I am so ashamed, coz Tz is leading in this business of fake contarcts, loosing international cases, and so on. I challenge them through their association to re-think their profession, they are loosing credibility.

I am doubt whether your comments will be acted upon in this forum. It will bether for our nation of you send these comments to Tanganyika Law Society so that they can put in their agenda
 
Please take no offence, i am just suprised on what is happening in this country with issues concerning International contracts? We always loose as a result of failing to negotiate or being forced to enter into fake, or unfair contracts in most of the sectors. What is the problem?
Ist it that we have bogus lawyers as well? are they all fake? aren't they learned as they claim to be?... and our universities..are they producing fake lawyers who understand nothing? where is pride they want us to believe that them lawyers have got?
I am so ashamed, coz Tz is leading in this business of fake contarcts, loosing international cases, and so on. I challenge them through their association to re-think their profession, they are loosing credibility.

The guys are very competent, the issue is 10%
 
Nadhani pia ni kukosa uzalendo ndo kumetufikisha hapa

Hata ungekuwa mzalendo lakini ijulikane nchi hii inaendeshwa kwa remote control ya mafisadi tena wachache sana. Kuna rafiki yangu mmoja katika miaka ya 1978 hadi 1982 alikuwa Mhasibu kwenye mmojawapo ya mashirika ya Umma wakati huo. Bosi wake ambaye alikuwa meneja Mkuu alikuwa fisadi wa kutupwa. Lakini ikifika mwisho wa mwaka wa kufunga vitabu vya mahesabu, alikuwa akimwita Mhasibu huyo na kumwamrisha atengeneze mahesabu yatakyoonyesha faida ya asilimia 30% wakati hali halisi kukiwa na hasara kubwa kwenye shirika hilo lililosababishwa na ufisadi. Kumbe Meneja Mkuu huyo nae alikuwa anaagizwa na Bodi ya Wakurugenzi. Ona sasa, wewe ukiwa Mhasibu (mtu wa katikati) usipokubaliana na hilo maana yake kazi hakuna. Utafanyaje? Tatizo sio usomi na weledi bali ni ulafi wa utajiri wa haraka haraka.
 
sio vilaza bali ni waathirika wa ujinga,ubinafsi na uchoyo wa asili uliopo kwenye dam zam zao.

Hivi huu ujinga tumeutoa wapi?
Wasomi wengi tunao...lakin sijui wanataka nini kwa taifa hili lenye mali nyingi...lakin wananchi wake masikini wakutupwa!
Oh! My God help us !
 
ok, then, i guess we are in for trouble. Mitanzania ndivyo tulivyo
 
kwa hiyo hapa nchini kila mtu hayuko serious, kuna sababu yoyote ya kungojea maendeleo?

wote ni vilaza man hatupo serious kweli wewe unaona kabisa CCM hawafai na bado unachagua chama hichohicho au unaona mbunge huyu hafai na bado unamchagua huyohuyo hata rais pia yaani tabu tu!
 
Very much so all this is a reflection of the society. Do not take lawyers in isolation watanzania wote kuanzia viongozi wanaong'ang'ania kulipa dowans mpaka mpiga kura anayehongwa Tshirt kanga na kofia ili achague uozo.

mtu anageuka haki yake na kuiuza miaka 5 kwa khanga na kofia ndiyo maana nasema wote ni vilaza haijalishi maskini au tajili wala msomi
 
Kuanzia walimu mpaka wanafunzi wao wanasurvive kwa madesa hapo kuna elimu kweli?
 
Hata angekuwa ni Mwanasheria wa kutoka kuzimu, kesi ya Dowans isingeshindika. Simpo, wameleta mitambo, imejaribiwa, ina fanya kazi.

Dowans bila mkataba wangeleta mitambo? Hakuna kitu kinaitwa kurithi mkataba, wanaorithiwa ni wafiwa tu.

Mkataba ni baina ya Dowans na Tanesco, kama Tanesco walisitisha mkataba kwa kufata wanasheria huo ni upuuzi na ujinga wa Tanesco, unakwenda kwa mwanasheria unamuuliza nivunje nsivunje? Kama mchezo wa kitoto, unategemea mwanasheria atakuambia nini? Naye atakupa majibu kama mchezo wa kitoto, vunjaa? Hapana atakupa option mbili, eeh bwana ukivunja mkataba itakuwa hivi na ukiendelea nao itakuwa hivi. Hakuna mwanasheria atakwambia vunja halafu yakikukuta umlaumu yeye. Na tuonyesheni ni wapi REX waliwashauri Tanesco wavunje tu mkataba, haiingii akilini.

Tanesco na yeyote alie nyuma ya pazia ya maamuzi ya Tanesco ndie wanaotuweka kwenye hiki kiza mpaka leo. Sidhani shirika kubwa kama la Tanesco halina ubunifu wa kuweza kuweka umeme sawa mpaka washauriwe na wanasiasa au mawakili. Na kama ni hivyo, basi watoa maamuzi wa Tanesco wote hawafai. Dawa ya Tanesco ipo njiani inakuja.

Chonde chonde rafiki yangu, rungu hiyo naomba uanze na watu wa maji. haya ya dowans mnapoteza muda, mutakilana bure... Tanesco hawana Hatia.... Wao walijiosha mapema..
hawahusiki kabisaaa..... Mambo haya yana wenyewe.. ninaposhangaa muhusika anaendelea kula kuku.. Sita anasema mtu huyu ana Kampuni 14 lakini jina lake haliko kwenye kampuni yeyote, Kagoda Haieleweki hadi leo, na mengine mengi...Tulieni mnyolewe..
 
Please take no offence, i am just suprised on what is happening in this country with issues concerning International contracts? We always loose as a result of failing to negotiate or being forced to enter into fake, or unfair contracts in most of the sectors. What is the problem?
Ist it that we have bogus lawyers as well? are they all fake? aren't they learned as they claim to be?... and our universities..are they producing fake lawyers who understand nothing? where is pride they want us to believe that them lawyers have got?
I am so ashamed, coz Tz is leading in this business of fake contarcts, loosing international cases, and so on. I challenge them through their association to re-think their profession, they are loosing credibility.

kosa kuu la wa tz ni sawa na hili unalolifanya kwenye post yako: kufikiri kuwa kila contract/agreement lazima iwe-drawn na lawyer bila kuuhusisha taaluma husika.
 
Naungana na wanaosema vilaza si wanasheria pekee.
Watanzania wote tumelala usingizi wa pono, tena saana tu....we need that sharp poke on our as$@#%^&ses to wake up.

Bring on a Kagame-like hard man!!
We probably have our own "Kagame" in Dr Slaa - bring him on!!

Sa tutampataje?
 
na hao TANESCO wanashindwa nini kuwashtaki hao RX kwa kuwa mislead?

If they failed to know what should have been done to Richmond, how would they come to know now that they have been mislead?.. and if they have to filed a claim against someone who knew them in and out like REX ATTORNEYS, who is going to stand in defending them in this kind of suit... ??:frusty:

Wajinga ndio waliwao...
 
Back
Top Bottom