Recent content by Mshambuliaji

  1. M

    Jerry Muro aivua nguo Yanga, adai kuna wanafiki

    Hana Lolote huyo kapigwa Chini kaanza majungu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Natamani kuona Tundu Lissu akitumikia adhabu ya kifungo jela

    Peter mtetezi Wa wanyonge sio wewe ni Hayati Baba Wa Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Ukabila, Ukanda na Udini ni kete ya mwisho ya CHADEMA?

    Kete nyingi sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    RC Makonda ataka Spika Ndugai aanze utaratibu wa kupima wabunge kugundua watumiaji wa madawa

    Vipi suala la vyeti yake ameviakiki? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Hivi hakuna mtu wa kujibu hoja za CHADEMA huko CCM?

    Nyani kama hawana hoja mbona unahangaika kuwatafutia makosa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Diwani wa CHADEMA Kakonko mkoani Kigoma alivyoamua kuwakilisha chama chake

    Heko diwani umethibitisha uwepo wako Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Halmashauri ya Rombo chini ya CHADEMA watoa Mikopo ya Milioni 18.8

    Vipi ya kinondoni Chini ya ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Deo mwanaume ndani ni haki yake wewe Kwa kuwa sio hutakaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Mkuu kwani mlikuwa mnawapokea? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

    Inashangaza sana mtu Mzima kama Fred MPENDAZOE kumlaumu Tundu lisu eti sio mzalendo.Napenda kumwuliza Mzee Wa KUHAMAHAMA VYAMA Bw.Fred MPENDAZOE angetuambia UZALENDO wake kwanza ndio amlaumu Tundu Lisu.Kama Fred MPENDAZOE ungekuwa Mzalendo naamini ungesimama kwenye Chama kimoja ukauonyesha huo...
  11. M

    Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

    Uko wapi UZALENDO wako wewe Fred Mpendazoe? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Je, kutokomezwa kwa kizazi cha ufisadi kutairudisha Tanzania kwenye siasa ya Ujamaa na Kujitegemea?

    Kwa katiba ipo? UKITAKA ujamaa na kujitegemea urudi rudisha azimio la arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    CHADEMA inaendeshwa kama gari bovu, watu wanaunguruma mithili ya gari

    Acha uchochezi wako tumia kiasi Kidogo cha akili.Hayo maneno uyasemayo kuna kiongozi Mkubwa sana aliwahi kuyatamka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Unamkumbuka kwa lipi huyu mwanasiasa

    Kwani wewe unavyomkumbuka nyerere ni muhenga? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    UWT yaitaka Serikali kuwachukulia adhabu kali Lowassa na Lissu

    Wamama Wa CCM ADHABU Kali Kwa kosa gani?Muogopeni Mungu Kwa kusema ukweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom