Raha sana kusikia semaji anavyo toa hoja na kujibu kelo na kuzitatua hapa kwetu Tanzania!!!
Hakika mwenezi wetu unatufanya tutembee kifua mbele RAHA sana kuwa CCM chama cheze watu makini na hodari!!! Endelea kuchapa kazi
Unafrahisha sana kujiita mlokole!
Na kutabili uongo kiasi hicho
Inawezekana nafasi IPO ila watu hawakujua /kupenda kuitumia ipasavyo!!
Baba huyo ndo msemaji wa CCM!!!
MAKONDA Baba lao endelea kusafisha mapito !!
Makonda kibinafsi napenda sana
Uwezo wa uwajibikaji wako,
Uwezo wa kutetea na kutoa hoja,
Uweza wa kuisemea Serikali yetu,
Uwezo kukisemea chama chetu,
Uwezo wa kumsemea Rais wetu,
Uwezo wa kuwasemea viongozi
Chapa kazi!! Tunaimani na wewe
CCM iendeleee kuwa imara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.