Recent content by Mshaka

  1. M

    Kampuni ya Business Times sasa yachungulia kaburi!!!

    Kwa masitikiko makubwa nimeambiwa kwamba hali ya Kampuni ya Business Times, inayomiliki magazeti ya Business Times, Majira na Spoti sasa imekuwa tete. Wafanyakazi wake hawajalipwa kwa miaka miwili sasa huku waandishi wa mikoani nao wakiwa hawajalipwa kwa muda wa miaka minne sasa. Talents nyingi...
  2. M

    Kampuni ya Business Times kwisha!

    Masikitiko makubwa ni kwamba wakati kampuni za magazeti zikiwa katika hali ya taharuki ya kushuka kwa biashara, mambo sio mazuri kampuni ya Business Times. Wafanyakazi sasa wamegeuzwa manamba na kumekuwa na impunity kubwa ya familia ya mmiliki wake. Ukidai chako basi unatishiwa, chama cha...
  3. M

    Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

    Waongo watupu..huyu bwana kasomea sanaa za maonyesho (ba- performing arts)..si yote hayo ni sanaa za jukwaani
  4. M

    Soma hapa Kitabu cha January Makamba na Tanzania Mpya

    Blue print yake haina uhalisia..AMECHANGANYA Na mambo mengine ya marekani ambayo utekelezaji wake utakuwa mgumu sana. Tuelewe kwamba tanzania hii ni nchi tajiri sana. Ona hii formula gdp=savings+investments+government expenditure+ (exports-imports) haya..SAVINGS Zetu tunazipeleka new jersey...
  5. M

    Edward Lowassa aungwa mkono na Wamarekani (USA)

    Mbona balozi huyu aliporipoti mwaka jana alikutana na wadau mbalimbali...hata huyu naye inawezekana alikutana naye kuweza kufahamiana...tena inaonyesha picha hii ni ya mwaka jana
  6. M

    Connect dots hapa kuhusu Jaji Mujulizi na Kikwete

    IMMMA..Ishengoma, Masha, Mujulizi, Magai Advocate sio IMMA
  7. M

    Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

    Hili lijamaa ni litoto kabisa na nina shaka na degree zake iaonekana za kununuliwa......
  8. M

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    ha ha ha ha kwa hilo tu ndo tumchagua..LOWASA atakuwa Raila Odinga wa Tanzania
  9. M

    Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

    Hivi yule dada Mareale ameshaacha kazi pale mwananchi.......Makunga naye alifanyiwa fitna ile mbaya mpaka akaondoka wakati kabakiza mwaka mmoja wa kustaafu....Nasikia Costa Mganyizi naye kafurumishwa kama paka shume maana huyu jamaa aliona mwananchi kama kampuni ya kwao na sasa...
  10. M

    Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

    Ha ha kwani Costa Mugabyizi naye kafukuzwa?
Back
Top Bottom