Recent content by mseza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    acha uoga uansema pepa ilikuwa rahisi kwa nn ulie tena unaogopa simu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kuwapongeza sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma wa mabadiliko

    oooooh hatari kama ni kweli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    one man down, tuonane matokeo yakitoka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    makinikia peke yake itakutoa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    mh sema hata kama unafahamu cyo kwa kushtukiza japo nalaumu sana usimaizi wa mtihani watu hadi wana chabo lakini wanapeta
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    kesho nini tena maana kusoma kuelewa kukesha mbwembwe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    mtihani ulikuwa noma asikwambie mtu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili TRA

    kwa hyo mzumbe ndiyo watasimamia shooooo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi-researchers

    kuna watu walipewa mafunzo hapo kama miezi mitatu hv mmoja namfahamu nimesoma naye chuo kwa hyo ndugu zangu tulizeni mshono, kama uantaka mali utaipata shambani
  10. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    nina safari kidogo nikiwa mwanza ntasaidia pia
  11. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    nakushauli kama uko mwanza kwa sasa toa taarifa takukuru
  12. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    tatizo mnasoma haraka haraka yeye ameuliza kama swali, ni kweli kuna mkanganyiko ila mm pia nauluza ikiwa hawa jamaa tokea 2013 au 14 wanawaibia watu na bado hawakatwi
  13. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    hilo la mkuu wa mkoa mm cna hakika ila mantiki yangu ni kwamba ni muda mrefu hawa jamaa wapo hapa mjini wanahangisha vijana lakini mbona hawakamatwi na wanaendelea kutapeli tu hapa mjini
  14. M

    JamiiForums Tanzania WanaJF, mmeshasikia habari za shirika linaitwa PCSP jijini Mwanza linalivyoliza watu?

    mwenye kampuni anaitwa andrea mabagara namba za simu0688256325 HR wao ni anaitwa mbuga 0782809700 mzee maka 0756391483
Back
Top Bottom