Recent content by msema_kweli

  1. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kuwatupa nje viongozi wa dini katika timu ya dira ya taifa, ni muelekeo mzuri

    Brother umepata wapi huo ujasiri wa kuona viongozi wa dini kutokushirikishwa ni jambo la maana sana nenda kacheki Baraza la maaskofu wa kkkt na Roma angalia PhD ziko ngapi huko ndani changuza ni ngapi za kupewa,ni ngapi zimetokana na masomo ya dini brother kutokuwashirikisha viongozi wa dini...
  2. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

    Ndugu askofu shoo ajasema anaunga mkono mkataba wa dpw amesema anaunga mkono uwekezaji
  3. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Kwaiyo wanasheria wote wanaoupinga mkataba ni wakristo?
  4. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Kwani wachina ni wakristo kwani
  5. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Mkoani Mwanza yagusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Apongezwa kila kona ya Nchi

    Mama kaongea maneno machache ila wewe umeandika kurasa mbili tutaaminije kama kweli mama ameongea
  6. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isipopata mtu mwenye nguvu kama Lowassa 2025 itakufa

    Ndugai,kalimani unamaanisha au unatania tu
  7. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania LISSU: Sina Ndoto ya kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Watanzania tunapenda poropanganda za kijinga sana rudi kamsikilize Lissu vizuri amejielezea vizuri sana
  8. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada wanaouza bisi, karanga, Miwa, samaki n.k wanauza hizi bidhaa au kuna vingine wanauza?

    Bro umetupiga na kitu kizito sana kichwan
  9. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Ruanda na Malawi wako vizuri kijeshi kuliko Tanzania?kweli mwendazake alitengeneza wajinga wengi
  10. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Huu utaratibu wa wafanyabiasha wandogo ulikuwa ni wakishezi kabsa
  11. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

    Rais aliyepatikana kutokana na uchanguzi wa 28october alishazikwa wewe unaishi wapi
  12. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

    Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.
  13. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Ni kweli uliona mbali mkuu
  14. msema_kweli

    JamiiForums Tanzania DEREVA NA FUNDI

    Mimi ni kijana Mtanzania ni dereva na fundi mechanical elimu yangu ni darasa LA saba, nina uzoefu wa kutosha kwenye udereva na ufundi nimesoma chuo cha usafirishaji NIT udereva na chuo cha ufundi VETA Niko tayari kufanya kazi popote Tanzania madaraja niliyonayo ni A, A1, B, C, C1, C2, C3, D na...
Back
Top Bottom