Recent content by Mscleopatra

  1. Mscleopatra

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco tunawaomba mturudishie umeme huku kinondoni kata ya msisiri jamani joto ni kali mnooooooooo mnawezaje kutukatia umeme na joto hili
  2. Mscleopatra

    Yanga inaenda kutoa ubingwa wa AFRICA

    😂🤣😂🤣
  3. Mscleopatra

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco turudishieni umeme huku kinondoni kata ya msisiri mnakazi ya kuzima na kuwasha mnaboa nyie watu
  4. Mscleopatra

    Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

    Kumshindanisha dst iliyoanza 1996 na azam wa mwaka2013 sio sawa naiman hata wao walianza na makosa mengii kabla ya kufikia huo ubora unao uona leo big up kwa azam mpaka kushindwanisha na mkongwe wa kimataifa si jambo dogooooooo
  5. Mscleopatra

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Tanzania mnakera sana jamani ndio nini huku kinondoni msisiri mnatukatia katia umeme jamani hiv mkituunguzia vitu vyetu kwa kuwasha na kuzima mtatulipa
  6. Mscleopatra

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco tanzania turudishieni umeme huku kinondoni kata ya Msisiri yahn game ya yanga imeanza nyie ndio mnazima umeme😡 turudishieni umeme bhana tafadhalini
  7. Mscleopatra

    Maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza

    😂🙌🏼
  8. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Sasa mimi na ww nani uelewa wake mdogo jombi😂 kwenye uzi wa veronica sijui latifa kisha wewe unaleta habari za sule hebu kaangaike na mambo yako unaonekana vikoba vinakuchanganya😂
  9. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Sasa hayo mambo ya sule yananihusu nini mimi😂 wewe ndio mtumwa kwa kumtetea mtu ambae alijiita latifa wakat anadai analala na joka kumbe jina alopewa na wazee wake ni vero😂 sasa nimekosea wapi kusema ukweli bint wa iman fulani kuvaa nguo za kujitambulisha kama ni waimani ya tofauti na yake na si...
  10. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    We nae babujinga umetokea wapi mbona umekurupuka kama chafya😂
  11. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Baba yangu anaitwa mussa na ni mkristo na mimi sijawazungumzia hao na wala hawanihusu hapa nimemzungumzia veronica ambe kwenye interview yake ya kulalana na joka alisema anaitwa latifa aisee kama hujaelewa nilichokimaanisha usiniletee gaazeti la mazingzong saa hiz
  12. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Kimbia usigeuke nyuma ww uliekaza shingo ukweli upo wazi hutaki kuuona
  13. Mscleopatra

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Eti nisigawe watu kwa mavazi huyo dem vero ndio alishajigawa mwenyewe kujiita majina ya kiislamu wakati sio wa dini hiyo sasa mimi nimewagawa kina nani mbona unaropoka tuu kama umelishwa usembe au ndio simu yako bando lako hakuna wa kukupangia cha kusema😂 umeshikilia kwenye mavazi tuu lkn jina...
Back
Top Bottom