Recent content by msaragambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania LHRC na THRDC watoa matamko kuhusu kushikiliwa kwa Maxence Melo

    Mbona hamjatoa tamko kuhusu kupotea kwa "Ben Saaanane" na maiti zilizozikwa kinyume na Haki za Binadamu,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Nauza Kiwanja Goba

    Ni inbox no yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Mil 50 au umekosea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unatabiri nini kwa ziara ya Kikwete Kilimanjaro?

    Naona Utoh anaanza kuwekewa mazingira
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Pinda sasa ni Kufuru: Akaunti ya Nyau yafikishwa zaidi ya Billioni 10

    Mfumo huu wa kumchangia aliye juu upo Sana kwenye Serikari,mfano ma RCP wanavyokusanya kutoka kwa ma OCD,OCCID kupeleka kwa IGP...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Kikwete Amepiga fyongo katika muda wa Dhahabu

    Ni uchambuzi mzuri sana Jk huwa hafikirii huwa anatekeleza kile anachotakiwa kukifanya Washauri wake wote ni wanamkakati waliowekwa kwa maslahi ya watu flan ndio maana vikimshinda anakimbilia kusema nimeshauriwa vibaya.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!

    Changamoto ya Kwanza kwa IGP mpya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Kwa kifupi huu ni mwanga sana kwa wale ambao wapo njia panda hasa kwenye maswala ya kiimani wengi walikua wanaamini kama wewe sio muumini wa dini tulizorisishwa na wazazi wetu,huwezi kua na imani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Nimeongea nao ku confirm darasa lipo na wanapokea wanafunzi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la bomu Arusha: Waandishi wa habari wa Television na magazeti hawakuwepo?

    Chakushangaza hakuna anayehoji hili na wao wamekaa Kimya
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la bomu Arusha:waandishi wa habari wa television na magazeti hawakuwepo?

    Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya Mlipuko wa Bomu na uvyatuaji wa Risasi kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni za Udiwani wa Chadema,Ninachokiona ni watu kujadili yale ambayo yanazungumzwa na wanasiasa ambao kauli zao nyingi zina Utata ama zinaegemea Vyama vyao. Pia kumekua na Matamko mbali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la bomu Arusha: Waandishi wa habari wa Television na magazeti hawakuwepo?

    Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya Mlipuko wa Bomu na uvyatuaji wa Risasi kwenye Mkutano wa kufunga Kampeni za Udiwani wa Chadema,Ninachokiona ni watu kujadili yale ambayo yanazungumzwa na wanasiasa ambao kauli zao nyingi zina Utata ama zinaegemea Vyama vyao. Pia kumekua na Matamko mbali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Poleni Sana Tunawaombea Kwa Mungu Mpate Nafuu ya Mapema
Back
Top Bottom