Recent content by MsaniiMkubwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je majiko yanayotumia OIL CHAFU hayapo kwenye kundi la nishati safi na salama, mbona hayapewi promo na serikali wala wadau wa nishati safi?

    Oil chafu izalishe nishati safi?.Ukishasema tu "oil chafu" inatosha kuona kuna tatizo bila hata ya maelezo ya ziada.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingia tena kwenye email address yangu ya yahoo?

    Nakutana na changamoto kwenye email address yangu ya yahoo. Kila nikijaribu ku-recover naishia pale inaponitaka kuweka namba yangu ya simu, badala ya kunitumia code namba inasema "something went wrong". Naomba msaada kwa Mtaalamu wa haya mambo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Freeman Mbowe. Hapendwi mtu ila pesa kwanza. Anamchukia TAL kuliko ambavyo angemchukia SSH aliyemtia gerezani miezi 8+ bila kosa!!

    Angependa kubaki tu kama Mpenzi Mtazamaji. Hata haki hiyo mnataka kumnyima?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni "Text To Voice" ipi ina kiswahili safi kilichonyooka?

    Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili". Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Kwa hiyo mkachagua picha ile the best ndio ukaiweka,ili tumuone mrembo?
Back
Top Bottom