Yanga ni watani wangu. Nimemtania sana huyu mzee enzi za uhai wake.
Pumzika babu Mpili, ulijua kutuchangamsha na kuweka tabasamu na vicheko kwenye nyuso zetu.
Mbele yako, Nyuma yetu.
Lala vyema na wenzetu waliotutangulia. Sisi wengine tunaishi kama digidigi kwenye nchi tunayoipenda mno.
Hakuna tatizo kwa jamii hii. Tangu tumekataa mila na desturi tukiamini vimepitwa na wakati, basi haya mambo ni kawaida mnoo.
Unaenda sokoni kununua parachichi la kula leo au kesho, unalitomasa tomasa kwa kulibonyeza na hujui idadi ya waliolibinyabinya kabla yako wakaliacha na wewe ukaliteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.