Recent content by msalikojr

  1. M

    Civil Engeneer

    :israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused::confused:
  2. M

    Natafuta dereva wa pikipiki anaeishi Arusha na mwenye mdhamini

    Nahitaji dereva wa pikipiki/boda boda ambae anaishi hapa arusha na mwenye mdhhamini kwa yeyote mwenye sifa hizo atume msg kwenda namba 0787 80 35 77 au 0767 80 35 77.usipige tafadhali!!tuma msg utapigiwa moja kwa moja,,hesabu kwa siku ni 7000/=kwa wiki sh 42,000/=kila siku ya jumamosi...
  3. M

    nahitaji mfanyakazi wa ndani

    natafuta mfanya kazi wa ndani,naishi arusha awe wa kike umri kuanzia miaka 16 na kuendelea,,mshahara ni maelewano kazi zake kuu ni usafi wa nyumba na vyombo,,kufua.mtoto aliepo ni mwenye umri wa miaka 8 na anasoma darasa la pili,,kwa yyt alie nae Au anaehitaji atume sms kwenye namba 0787803577
  4. M

    Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

    :boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink::boink:NI SAWA NA KIRUSI TU HUYO!!!!
  5. M

    Mvua yanyesha zaidi ya masaa kumi leo jijini arusha

    Katika hali isiyozoeleka mvua ya kiwango cha wastani imenyesha leo kwa zaidi ya masaa kumi na kuongeza kiwango cha baridi kali na uharibifu wa barabara hasa za vumbi maeneo mbalimbali na kusababisha adha za kutopitika kwa maeneo mengi pembezoni mwa jiji!!!!!
  6. M

    Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

    hakuna mwanajeshi hapo muhuni tu huyo,,ila askri wetu nao full majanga :israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::music:
Back
Top Bottom