Mungu Mwema wakuu baada ya Kunywa PEP mwezi mzima nimepima hii mara ya Sita sasa ndani ya mwezi nipo NEGATIVE.
Nawashauri Washkaji zangu tule kimasihara Ila Ndomu NI muhimu Sana au Mafuta Kwa wingi aisee Katika Begi lako hivyo vitu usikose.. Mimi kama sio Mafuta Leo ningekuwa kwenye gridi Moja...
WAKUU HABARI ZENU..
MUNGU MWEMA.. TANGU JANA NIMEFIKISHA MASAA 24 TOKA NIKUTANE NA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI.
TAYARI NIMESHAANZA KUNYWA PEP TOKA JUZI.. KIUKWELI HIZI DAWA NDO MARA YA KWANZA KUNYWA KAMA WATU WANAVYOSEMA KWELI ZINAMAUDHI SANA ILA SIJUI KUOTA NDOTO MBAYA...
NIMESEMWA SANA NA MADOKTA YAANI NIMESEMWA KAMA MTOTO AISEE WANACHO NILAUMU KWA NINI UPIME BAADA YA TENDO WAKATI ILITAKIWA KABLA YA TENDO.
KIJISAHAU KUPO NDO NILICHOJITETEA NAJUTA AISEE UNASEMWA HUKU UNAPEWA NA ELIMU YA DAWA PEP HAHAH NAONDOKA NACHEKA ILA MOYONI SINA AMANI KABISA WAKUU...
NIMEPEWA DOZI MOJA YA LEO USIKU KAANDIKA (TLG) SABABU NIMEENDA JIONI SANA NA SIJUI DATA WAMEFUNGA.. SO KESHO ASUBUHI NAENDA KUCHUKUA VIDONGE 29 VILIVYOBAKI.. KANIELEZA PIA MAUDHI YAKE KASEMA NIJIANDAE KWA LOLOTE.
NIKIRUDI NYUMBANI NAENDA KUOSHA UUME NA SPIRIT AISEE ANASEMA VIZURI UKIVIWAI MAANA...
Habari zenu,
Wataalam nimekutana na mkasa huu saa moja lilopita navyoongea sasa nipo Hospital nachukua dawa za PEP, Mungu Mwema naamini sijapata.
Jana Katika mishe mishe zangu nilikutana na demu mmoja mdogo sana anaitwa Frida, katika chatting zetu alisema ana mtu wake ila nikamuomba tunda by...
Wataalam nina kisa kimoja hiko.. nilikula sister wa kanisani.. kwenye kuomba msamaha kwa Mungu nafsi inasema ili niwe Huru hii Siri niitoe kwa watu wajue na Moyo wangu utakuwa na Amani.. hiyo Dhambi nilifanya 2021 seminari nipo malezi sasa nimerudi parokiani kwangu ndo nakutana na huyo sister...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.