Recent content by Msakila KABENDE

  1. Msakila KABENDE

    Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

    Mungu mkubwa, jitihada ziendelee hasa kuimarisha maeneo ya mipakani, viwanja vya ndege, na kwenye maghati ya meli ili kudhibiti maambukizi Heko Makonda
  2. Msakila KABENDE

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Kama iko hivyo wanaogopa taharuki miongoni mwa jamii lkn wakati utatuweka wazi
  3. Msakila KABENDE

    Serikali yasitisha masomo kwa vyuo vya kati na vyuo vikuu kuanzia tarehe 18/03/2020 ili kupambana na Corona

    Nashauri kuanzia leo Police Tanzania waanze kuondosha mikusanyiko isiyokuwa na lzm (wacheza kamali, pool tables, bars nk)
  4. Msakila KABENDE

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Kuletwa sampuli haimaanishi kwamba wagonjwa wameongezeka kwa kuwa vipimo ndivyo huzungumza - hata baadhi ya mikoa wapo suspects ambao wako Karantini, wanachukuliwa sampuli yet hatuwezi sema ni wagonjwa. Hata hivyo sipingani na wengi wenu juu ya umuhimu wa kuchukuwa tahadhali kwa ugonjwa huu
  5. Msakila KABENDE

    Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Amegawa shilingi ngapi kwa hesabu? (i). Mbunge wa kuchaguliwa jimboni ana fungu la maendeleo ya jimbo; (ii). Mkuu wa Wilaya ana fungu la Political Vote kwa mwaka tshs 5M - hizi huzitumia kusaidia maendeleo kwa jamii na misaada; (iii). Mkuu wa Mkoa ana fungu la political vote kwa mwaka tshs...
  6. Msakila KABENDE

    RC Gambo amtunishia msuli Mkurugenzi wa jiji Arusha

    Nadhani RC angeitisha kikao cha ndani kati ya Mhe Jaji Mfawidhi na Mkurugenzi kisha hili wangejadiliana pamoja afu finally ange-cement kwa kila anachoamini
  7. Msakila KABENDE

    Watanzania tutakubali Rais Magufuli ashauriwe, hatutakubali atukanwe

    My additional:- Hongera JPM, hata wanaokutukana umewalipia faini kisha wameachiwa toka gerezani - endelea kutumia busara hizo ktk mambo mengine ili dunia ishuhudie namna ulivyo.
  8. Msakila KABENDE

    Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

    Mbn kuandamana na kufuatsna na magari yetu
  9. Msakila KABENDE

    John Mnyika (Mb), Salum Mwalim, John Heche (Mb), wawasili Makao Makuu ya CHADEMA mara baada ya kutoka gerezani leo

    Mwenzako akinyolewa, nawe nunua wembe - kila hatua mnayopitia ni kiungo muhimu cha kuwavusha - tuifanye Tanzania kuwa kisiwa cha amani na utulivu
  10. Msakila KABENDE

    Freeman Mbowe afanikiwa kutoka Jela, ni baada ya Mabomu kupigwa, Wabunge wa CHADEMA walioenda kumpokea Segerea wakamatwa tena!

    Kila jambo na wakati wake "gereza na kifo haviapiwi" tuifanye Tanzania kuwa kisiwa cha amani na utulivu. 2020 ni mwaka wa uungwana na maridhiano.
  11. Msakila KABENDE

    Ikulu: Rais Magufuli aongoza kikao cha baraza la mawaziri

    Nadhani wengi masikio yako Kisutu!
  12. Msakila KABENDE

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    From the hero to down Anaona kazi ya siasa ktk matokeo halisi
Back
Top Bottom