Recent content by msakijr

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya kurudi kutoka university of HongKong

    ‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Sorry exim jee nao wapo vizury au magumashi tuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwa watanzania

    hakuna mtu anauza majani ya chai ndugu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwa watanzania

    FURSA KUBWA KWA WATANZANIA!! AIM GLOBAL... Je ungependa kuwa na kipato cha ziada? Je unatafuta ajira ya kufanya kwa mda wako wa ziada au ya kudumu ? Tunatafuta watu wanaoweza kujituma wenyewe na wanaoweza kufanya kazi kwa umoja. Tuna ofisi zetu sehemu mbali mbali kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gari za Toyota hazina ubora ama?

    aangalie prison break season ya kwanza kuna vits
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung Galaxy Note 4

    tigo wanasema imefungwa na mm nilikuwa naitumia vizury tuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung Galaxy Note 4

    habari za asubuhi ndugu zangu na shida na simu yangu toka jana nikiweka line ya tigo inaandika emergency calls only, nikiweka line nyingine inafanya kazi, na pia nkiweka line yangu kwenye simu nyingine inafanya kazi vzry. anaeweza nisaidia jaman hapo shida inaweza kuwa nini.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje majina ya wapenzi wake hapa

    haahhahhahah pole yake Elena aiseeee
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laki moja yangu inaniuma sana, hata asante sijapewa

    hahah pole sana laki nzima nzima aiseee kwa usawa huu wa uncle magu....alfu no asante hehehe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Get brandnew Iphone 5s at a very cheaper price

    bei haishuki zaidi ya hapo mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania PC Gamers Njooni Hapa

  12. M

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

    halotel ipo poa mkuu popote kitu kinatembea mpka 4mb/sec, kipindi kile 18GB usiku pack me nashusha mzigo mpka wa 16GB na badoo ukiangalia time iliotumia 3hrs to 4, tigo inachagua hata town hapa hapa sio kila sehemu ina speed
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    kaaah 8 times sister hapo hata mmeo hawez kukusamehe en am sure badoo unaendelea mpka sasa ukitoa mimba dhambi wee endelea tuuu
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    alfu hujasema mimba n ya nan sasa ya rafiki au mmeo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

    sooo buss naendesha kabisa or n yale ya barabarani tuu like nakuwa napishana nayo tuu
Back
Top Bottom