Dah..!
Hapa acha nipite kimya kwanza.. Maana mie mwenyewe sijuagi kabisa kutongoza ila sijui huwa nawapataje mademu.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za siku wanajukwaa.
Naomba kuuliza hivi kuna yeyote ambaye mpaka sasa amefanikiwa kufanya application za ajira za waalimu kupitia website ya Tamisemi ?
Maana mie tangu juzi nahangaika sijafanikiwa natumia laptop na internet iko speed nzuri tu sehemu nilipo ila tatizo nikifika sehemu ya...
Kumekuwa na mada mbalimbali zinazozungumzia usariti katika mapenzi/ndoa huku kila upande (Me/Ke) wakilaumu kuwa wenzi wao sio waaminifu.
Tukiachana na hilo kumekuwa na kundi la baadhi ya wanaume kuamini kwamba mwanamke aliyeolewa bikra huwa ni mtulivu kwenye ndoa!
Imefikia mpaka kwenye baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.