Kuna tatizo sana la mausiano kwa ma secretay, (si wote) wengi huwa hawaolewi pamoja na wengi wao kuwa warembo haswa na hata walio katika ndoa zao nyingi huwa zina mgogoro wa hapa na pale sasa tatizo huwa liko wapi?
Ebu tupia mchango wako hapo unachojua.
dua la kuku, wanawake yakwao hutaka yajulikane kuwa wananyanyaswa lkn hapo lzm kuna ukwel unafichicka wanawake wenye kaz na vijisent wee waone kwa nje tu ingia ndan uwafaham kiundan hutaongea hivyo.
Hapo ukwel utakuwa huyo bektatu ni bikra mshikaj akanogewa, lkn upande wa pili kuna mambo pia mshikaj atakuwa alikuwa anatendewa ambayo alikuwa hayafurahii akaona bora aish maisha ya shida ila moyon ana aman.
c wote ila wanawake wenye ajira na wameshapata mtoto asilimia 90 huamishia upendo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.