Recent content by Msafiri Duke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unyayo kuchoma choma

    Msaada madokta.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unyayo kuchoma choma

    Nini hasa sababu na chanzo chake? Na tiba yake ni nini? Naomba msaada tafadhali.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    unyayo wa miguu yote mwili kuuma kama vile kuchoma choma, nini sababu na tiba yake. Msaada Dr.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karafuu ina madhara na faida

    Thanks Doctor.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Karafuu ina madhara na faida

    Karafuu ina madhara na faida zipi endapo italiwa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Karafuu ina madhara na faida

    Karafuu ina madhara na faida gani endapo ikiliwa.?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Madhara na faida za ulaji wa karafuu

    Nini madhara na faida za ulaji wa karafuu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ratiba ya usaili mikoani secretarieti ya ajira utumishi wa umma.

    Mwenye ratiba please kwa tunaotumia kasimu ka mkononi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu na haki za likizo kwa mfanyakazi.

    Inategemea barua yako ya ajira inasemaje, hayo ndiyo makubaliano kati yako na mwajiri. Labda utupe terms zilizoko katika mkataba wako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Mmmh umeandika kitalam sana sijakupata @ Makondeko.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Vidonda vya tumbo katika dudonum vinatibikaje madaktari mana vinauma sana maumivu hadi mgongoni hospitali baada ya vipimo kuonyesha nimepewa omeprazole.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Ok. Hii imetokea baada ya miezi 10 ya kujifungua. Yaweza sababishwa na lipi kati ya hayo mana hapo awali haijawahi tokea.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

    Hivi kuna sababu zipi zinazoweza sababisha mama kupata hedhi kila baada ya wiki 2. Msaada Madaktari.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua za secretariat utumish wa uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING? Msada jamani.

    Hi, Barua za secretariat utumishi uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING. Msada.
Back
Top Bottom