Taratibu na haki za likizo kwa mfanyakazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taratibu na haki za likizo kwa mfanyakazi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mupirocin, Sep 30, 2012.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakuu najua kuna wafanyakazi wazoefu sana humu jamvini.
  Mimi na mke wangu tumeajiriwa na shirika la kidini tunatarajiwa kwenda likizo soon. Tunamtoto mmoja.
  Napenda kujua zipi ni haki zangu ambazo natakiwa kuziclaim au kupewa wakati nakwenda likizo. Naombeni msaada ili nijue taratibu ili pale ninaposhindwa kutimiziwa niwadai.
  Natarajia ushirikiano wenu.
   
 2. M

  Msafiri Duke Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inategemea barua yako ya ajira inasemaje, hayo ndiyo makubaliano kati yako na mwajiri. Labda utupe terms zilizoko katika mkataba wako.
   
 3. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hilo shirika lako halina company "handbook"? kwa uzoefu tu mashirika mengi hutoa "nauli tu ya kwenda na kurudi likizo" hakuna cha zaidi hapo! na nauli ni kwako na mkeo na watoto!
   
Loading...