Barua za secretariat utumish wa uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING? Msada jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua za secretariat utumish wa uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING? Msada jamani.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Msafiri Duke, May 28, 2012.

 1. M

  Msafiri Duke Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hi, Barua za secretariat utumishi uma zinaandikwa kwa MKONO au TYPING. Msada.
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Cv inatakiwa iwe ya typing but cover latter hand written.
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  na is it tru kwamba unandika pia sehem ambayo ungependa kufanyia kazi?
   
 4. S

  Simbamtemee Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huandiki,c lazima
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,706
  Likes Received: 7,961
  Trophy Points: 280
  Kama tangazo la trh 25 limejaa wizara na taasisi kibao, sasa kwenye tittle utaandika nini kama si kuchagua wizara mojawapo?
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  we unakurupukaga nini ebu soma vizuri ayo matangazo ya kazi maana maswali yote unayouliza yamo mule mule kwenye tangazo
   
 7. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tangazo lile la kiswail halijasema uandke wizara, bal kaz unayomba juu ya bahasha na kweoye kchwa cha habar cha barua..bt kuna m2 amecop tangazo la kngereza linalonyesha pia uandke na institutin thats y nimedata cz nshatuma maombi
   
 8. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kutajata au kutokuja sio kigezo. Upo sawa. Ondoa hofu.
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  waveja sana.
   
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,706
  Likes Received: 7,961
  Trophy Points: 280
  Hata la kiingereza la tarehe 24 halikutoa maelekezo ya namna hiyo sema ndio hivyo yameshakukuta mkuu. Na hata hivyo mimi sioni namna mtu anaweza kuandika hii barua kikamilifu ikiwa maelezo yenyewe ndio yale.

  Kazi kwa mfano ya Operator wa Computer, imeandikwa kwamba ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wizara ya ....., katibu mkuu wizara ya ......, katibu mkuu wizara ya ........, Halmashauri ya Wilaya ya ,,.......n.k, sasa kwenye Heading na kwenye bahasha unachagua wizara moja au halmashauri moja au la? (Haya ndio yatakayotukwamisha)
   
 11. R

  Rosima Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  mimi nachojua ni kwamba unaandika kazi uliyoomba juu ya bahasha, ila kama wamekuambia uchague kituo cha kazi ndo unachagua e.g zile kazi za afisa tarafa walisema uchague mkao,lkn hizi za sasa habari ya kuchagua haipo
   
 12. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Umetuma kwa njia gani. EMS au kawaida? Unaweza kuambiwa haijapokelewa!
   
 13. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,706
  Likes Received: 7,961
  Trophy Points: 280
  Kaka EMS? Basi hili jambo itabidi tukakope benki kulifanikisha. Tunaanza na ku-certify vyeti kwa mawakili 5000 each na umalizie na gharama za EMS ambayo inaweza kuwakera wanaofungua bahasha hapo kwenye tume kwani ni waswahili ambaoo wanaweza kuamua kukukomoa kwa sababu zao za kiswahili
   
 14. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nime2ma kwa posta kama walvotaka wenyewe.
   
Loading...