Recent content by Msafa

  1. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Namuachia Mungu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Bila bila. Bado namuomba Mungu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hahahahaha. tuendelee kuomba Mungu. Siku nikipata nitawapa feedback.
  4. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Waligoma kusema lini.. Zaidi ya kusema kasubiri. Wakati nimetuma maombi nilijua baada ya miezi 3 majibu tayari. Nilipaki kabisa mabegi. Destination organization tunawasiliana vizuri wanipa moyo itatik.
  5. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi ndiyo nakwambia mkuu inaenda miezi 8 sasa bila bila. Kama mdau aliyesema hapo juu yeye alipata baada ya miezi 8. Nishafanya mawasiliano nao walisema nisubiri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu sisi wa kusubiri miezi 8 tuseme je? Wote tuwe na subra. Mungu atatenda.
  7. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Amin. Mkuu nina imani nitafanikiwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Unanitia moyo. mimi naenda miezi saba sasa ombi lipo utumishi. Nitafanikiwa tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

    Maombi yako yapo hatua gani kaka?
  10. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Tuendelee kuvuta subra.
  11. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nakazia. Attachment muhimu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Siku fanikiwa kwenda mkuu. Nasubiri vitu vikae Sawa hapa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sahihi. mimi maombi yangu Februari bado sijapata kibali.
Back
Top Bottom