Recent content by Msadikika

  1. M

    Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

    Mheshimiwa wetu kamkasikia mwenye kijiji kama mafarisayo walivyomkasirikia yesu kwenye masinabogi,ama kweli ukweli unauma,Mh wetu 0 mwanakijiji 3,huree mwanakijiji.
  2. M

    Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

    Mh kamkasirikia mwanakijiji kama mafarisayo yalivyomkasirikia yesu kwenye masinabogi ,kweli ukweli unauma ,Mwanakijiji 3 mheshimiwa wetu o.
  3. M

    HakiElimu vs Govt: The saga

    Haki elimu sasa inaishika serikali mahali pabaya ..
  4. M

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Jamani mwenye data ,inakuwaje waziri mzawa mpenda wanainchi mjasiri alikufa peke yake tu? Huu kweli ni uungwana?
  5. M

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Kama ameweza kumfumbia macho kaka yake aliyemuachia kiti ,huoni kuwa na yeye anahusika? mumesahau kuwa yupo chini ya ccm? chukua chako mapema?
  6. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Hoja alizozitoa mzee mwanakijiji zina uzito wake ,lakini pia mzee Tuipende inchi yetu yeye pia kwa ufafanuzi wake nampa zake,Nnasema hivyo nilikiwa na maana, Mfano mzuri ni kwa zile nchi zetu za ugaibuni watu walio shika nyazfa za juu wengi wao ni wazungu kwa sababu baba zao ndio walio anzisha...
  7. M

Back
Top Bottom