Recent content by Msaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzungu kasahau kipochi chenye pete. Hivi zinaweza kuwa na thamani gani?

    Duuu H kitambo hii mambo🤣🤣 apeleke polisi tu watamsaidia kujua thamani🤣😃😃
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

    Umesema kweli kabisa yani ukiingia Dar cha kwanza ni harufu za hovyo za uchafu mitaro michagu imekua kero watu wanachuruzisha maji machafu yanayotuama kwa muda mrefu
  3. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro kwahiyo tuzae Watoto wenye Roho Mbaya, Wabambikaji Kesi na Wanyanyasaji kama Polisi wa Tanzania au?

    Ahaahahaa daaah hamna ataimarika tu ahahaha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uviko-19 wadaiwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, tukachanje tuepuke tatizo

    Ahahahjaah abongo kwa kufikiri chap haraka
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    Wewe endelea kushanga lakini kanuni ipo hivyo haina kupindapinda muhimu acha kudhulumu haitakukuta
  6. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"

    Jifunze kuandika kunakostahili kuweka H unaweka A kwenye A unaweka H halafu unajifanya mjuuuuzi popma moja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muwe makini na ATM card zenu, kashalizwa mtu Milioni 28

    Kwa kuongezea msipende kuomba msaada kwa mtu usiye mjua unapokua kwenye ATM Kama hakuna mtumishi wa benki bora ukaingia ndani kuomba kusaidiwa kama umekwama kutumia kadi yako matapeli wapo wengi kwenye ATM Wanavizia ujichanganye tu wanakupiga tukio
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba timu ya wazalendo kutwaliwa kwa bei chee, January Makamba mwenye ndoto za urais ni mshauri mmojwapo wa Mo Dewji

    Kwani ile asilimia 51 mnaifanyia nini mpaka sasa mpaka mumlaumu aliyeweka b20
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Wakati mwingine uchumi ni tatizo unataka umpe pesa ukicheki mfukoni unabalance ya mkate tu kwa mangi unaitoaje si kila anayendesha gari anaweza kuwa na akiba mfukoni.mbaya ni kumtukana na kumdhalilisha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

    Daaah huyu mwamba kwelikweli aisee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Ahahah povu.ila kuna watu wanaudhi sana ahahaha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyewaambia na kuwadanganya Wamisri kuwa wana umiliki wa 87% ya maji yote ya Mto Nile?

    Ahahaha na kweli hao ni maswahiba barabara kimaslahi misri yupo tayari kufinga mipaka yote wakimbizi wa kiarabu wasiingie lakini sio kuwaudhi israel
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uarabu na Uislamu ni vitu viwili tofauti

    Na hapa huwa nashangaa sana muarabu hajui kuisoma wala kuielewa Quran mpaka afundishwe na kutafsiriwa ijapokuwa ni kiarabu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    kama aliyemteua na kumtengua hajaweka wazi sababu hii tutaita ni ukuda
  15. M

    JamiiForums Tanzania TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Maajabu unakagua magari wakati huna ujuzi wa kuyatenegeneza
Back
Top Bottom