IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"

Hivi Watanzania wangapi wanawaona polisi wa Tanzania katika taswira hii, walinzi wa raia na mali zao?
Mimi binafsi nimefurahi wale mapolisi kufa wana roho mbaya maaskari wa Tanzania siwapendiiiiiii!
Pale kizuani wale magaidi yule OCS na msaidizi wake anaitwa hawa lau kama ningeweza ningewaua kwa mkono wangu mwenyewe!washenzi narudia tena washenzi nasema tena wale ni mambwa sio watu maaskari wa Kizuani Yale ni mashetani.Hongera Hamza kupunguza mashetani yale

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
tusipende sana kila jambo tunashutumu Polisi, hebu tujaribu kuwa na shukrani hata kwa kile kidogo wanachofanya...hivi hamuoni wanavyotulinda mitaani huku na kutatua changamoto za kila siku mtaani huku, hivi hatuoni hawa traffic police wanavyotusaidia huku mabarabarani pamoja na ujira mdogo wanaolipwa?... hakuna kazi isiyo na changamoto duniani hapa na hakuna police walio perfect dunia pote hapa tuache lawama....

Hivi hatujaona ile effort ya wale askari waliojitolea kuzikwepa risasi na kuleta amani pahala pale?.....kwa hiyo wangemuacha tu yule jamaa na bunduki zake anapiga marisasi na kuleta taharuki huku kazi zimesimama nk..
95%ya maaskari ni washenzi Mimi sijwahi kutana na askari mwenye utu!wana roho mbayaaaaaaa!makatili mala rushwaa nna ushahidi na nachokisema!Askari Mimi akifanyiwa ukatili nafurahi mnooooo!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Chief, umeshasema jamaa alikuwa anauza dhahabu kimagendo kifupi sio raia mwema, kama ilivyo kwa raia wapo wema na wapo wasio wema...hata polisi wapo wema na wasio wema....yeye hakuwa raia mwema kakutana na polisi ambao nao sio polisi wema kwenye dili zao chafu huko mitaani wamedhurumiana....
Mkuu kuuza dhahabu kimagendo ni suala la kukwepa kodi tu, kama huyu mtu anamiliki machimbo huko Chunya kihalali.

Sasa kosa la kukwepa kodi ndio litufikishe huku? Wangapi Tanzania wanakwepa kodi kubwa zaidi yake?
 
chief, sisi wote watoto wa mjini na tunaijua michezo ya mjini bila shaka... kwenye dark business aka kukwepa kodi ukibambwa na kutaka kutoa rushwa huko unakutana na wahuni wenzio aka wapokea rushwa na kama hukucheza vizuri lolote linaweza kutokea....

kama amedhulumiwa na polisi wahuni wapiga dili na yeye alikuwa amepitia njia hiyo kwa wahuni sasa angemalizana nao kihuni huko gizani....Unapokuja public kwenye uso wa dunia na kuleta taharuki kupiga risasi hovyo hovyo na kuwinda polisi ( bila shaka hapa unaweza kuumiza hata wale wema) huku ukisimamisha shughuli za uzarishaji mali na kuleta taharuki eneo nyeti lenye balozi kubwa na karibu na maeneo ya makazi ya mabalozi nk UNATEGEMEA UCHEKEWE?
 
tusipende sana kila jambo tunashutumu Polisi, hebu tujaribu kuwa na shukrani hata kwa kile kidogo wanachofanya...hivi hamuoni wanavyotulinda mitaani huku na kutatua changamoto za kila siku mtaani huku, hivi hatuoni hawa traffic police wanavyotusaidia huku mabarabarani pamoja na ujira mdogo wanaolipwa?... hakuna kazi isiyo na changamoto duniani hapa na hakuna police walio perfect dunia pote hapa tuache lawama....

Hivi hatujaona ile effort ya wale askari waliojitolea kuzikwepa risasi na kuleta amani pahala pale?.....kwa hiyo wangemuacha tu yule jamaa na bunduki zake anapiga marisasi na kuleta taharuki huku kazi zimesimama nk..
Jinga kabisa wewe
 
Halafu ukikutana nao mitaani wanaongea kiswahili vzr kabisa.

Lakini akishakukamata utasikia,,, Arooo,,Aroo,,,

Wewe kama ni fara sisi ndy mafara zaidi..

Na sauti wanabadilisha lafudhi ya kikukra..

Nacheka sn.
 
Una unacho kifahamu mzee, mengine hacha kama yalivyo... Kama kungekuwa kuna back up ya waalifu na mmoja ndio amejionesha pekee...?

Vipi kibaka uliye muona ndani ya uzio wako wa nyumba, lakini bila kujua nje au njiana kuna wengine ambao wapo kumpa msaada kibaka mwenzao... Huku una jidanganya ni huyu huyu hakuna kibaka mwingine au majambazi wengine!?
Jifunze kuandika kunakostahili kuweka H unaweka A kwenye A unaweka H halafu unajifanya mjuuuuzi popma moja
 
Back
Top Bottom