Recent content by Ms Longido

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa aja msibani na kudai marehemu ni baba yake

    Chakufanyika hapo nikupima DNA. ikithibitika kwamba ni mtoto wamarehemu basi ananafasi yake katika huo urithi wa marehemu. Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inasema watu wote ni sawa na Ibara 13 inakataza kunyanyapaa kwa aina yoyote ile, kwa rangi, kabila, dini, ama msimamo. Sasa sheria ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

    hujamuona Hitlar unamuona yeye tu, ni andiko gani linalosema mtu akajilipue??? wakati anaexist katika sura ya hii dunia Mabomu yalikuepo?? au unaropokwa tu?? Roman Empire walikua hawakati watu vichwa namashoka?? kisa ukipinga tu kidogo?? Galileo na Martin Luther walitaka kufanywa nini kwaajili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

    Sio Mashindano wala hakuna anaepata tuzo. Be open minded.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    You have said it well ni suala la imani. swali ni je kwanini unaamini?? na jibu ni kua tunaamini kwasababu hatujui, hatujashuhudia, hatujaona, hatuelewi. Kitu unachokijua ama ulichowahi kukiona huwezi kukiamini. Kwa mfano, huwezi kuamini ya kua kuna Miti wakati miti unaijua na unaiona, huwezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Marapa 5 wanaodaiwa kuwa ni mashoga

    Gay ni yeyote anaejihusisha namapenzi ya jinsia moja. Haijalishi unagonga ama unagongwa.
Back
Top Bottom