Recent content by Ms Fatma

  1. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji - Sehemu ya kwanza

    FOREX TRADING KWA KIWANGO KIKUBWA NI 'SPECULATION'. HII INATOKANA NA ASILI YA BIASHARA HIYO KWANI 'VOLATILITY' (MABADILIKO YA THAMANI YA FEDHA) NI MAKUBWA NDANI YA MUDA HUSIKA. HIVYO WAFANYABIASHARA WENGI WALIOPO KWENYE FOREX ESPECIALLY WANAOTRADE KILA SIKU (DAY TRADERS) WANAANGUKIA HAPO KWENYE...
  2. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji - Sehemu ya kwanza

    UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo. Maneno ya kuzingatia hapa ni “uchambuzi wa kina” “kulinda mtaji” na “marejesho”. Bila vitu hivi vitatu basi operesheni...
  3. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante.
  4. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    asan Asante. Na asante kwa warning. Sijajua kuwa huku nako kuna haya mambo.
  5. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Nashkuru. Asante
  6. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Nas Nashkuru
  7. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante sana
  8. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante. Nitajifunza mengi pia kutoka kwenu. Pamoja.
  9. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante Sinyora
  10. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Nimekaribia. Asante
  11. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante sana
  12. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Asante sana
  13. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania wanatoa kozi za CFA (Certified Financial Analyst) au CFP (Certified Financial Planner)

    Vipi uliendelea na mpango wa kusoma "MASTERS OF FINANCE AND INVESTMENTS" Pale IFM?
  14. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania wanatoa kozi za CFA (Certified Financial Analyst) au CFP (Certified Financial Planner)

    HAPANA, sijaanza kusoma. Niliopt kuanya masters instead. My plan is to pursue it in the future.
  15. Ms Fatma

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana. Asanteni...
Back
Top Bottom