Recent content by mrYoutuber

  1. mrYoutuber

    JamiiForums Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Kwa maana nyingine haumshauri mtu kuhusu uwekezaji, mm kwa kuongezeka juu ya ushauri wako mzuri, hizo hela ulizopata kwa mwezi tafuta sehemu zifanye kazi nazo pia zikuingizie 1000 kila siku au hata 500 na sio kumshauri mtu akaiweke hela iwafaidishe hao Company. Huwezi kupata hela ukapeleka bank...
  2. mrYoutuber

    JamiiForums Camera ya CM yangu haitaki kufanya kazi. Inaniandikia hivi

    Toa bettri kama dakika 1, rudisha tena halafu washa camera yako tena, ikigoma jaribu pia... Nenda sehemu ya settings sehemu ya apps, tafuta app ya camera yako, utaibonyeza then bonyeza walipo andika clear cache, ukidelete rudi kwenye camera yako, ikigoma hapo tatizo litakuwa la hardware...
  3. mrYoutuber

    JamiiForums Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Pole sana Kaka yangu, nimesoma uzi wako mwanzo mpaka mwisho najikuta nataka kudondokwa na machozi, pole sana kwa kipindi hiki kigumu, ila amini kwa mungu yote yanawezekana. Ushauri wangu Kaka, mruhusu mama awashilikishe watu wengine kama ulivyo tushilikisha na sisi, lakini pia nenda kanisani...
  4. mrYoutuber

    JamiiForums NAUZA CHANNEL YA YOUTUBE

    Njoo WhatsApp 0692219347
  5. mrYoutuber

    JamiiForums NAUZA CHANNEL YA YOUTUBE

    Njoo
  6. mrYoutuber

    JamiiForums Naomba kujua utaratibu wa usafiri wa ndege

    Na mm ni mmoja wa watu tunaohitaji kujua utalatibu huo. Nimeelewa sana, lakini vipi kuhusu kuipata hiyo viza yaani process zote kabla ya kufikia hatua ya kuwa na kibali. Yani namna ya Kupata viza au tiket
Back
Top Bottom