Recent content by Mrsir B

  1. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Diamond ashinda tuzo ya best male africa tuzo za Sound city MVP, awakalisha Davido na Wizkid

    Zitaje mkuu au na ww hupendi show off
  2. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Zari: Mobetto ni low life; ampa Diamond za uso

    [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] omo
  3. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Zari: Mobetto ni low life; ampa Diamond za uso

    Wanawake wengi wa kibongo mapoooovu, mwacheni aseme anachojisikia
  4. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Hussein Bashe baada ya Askofu Niwemugizi kuhojiwa na uhamiaji

    Akili ndogo siku zote haiwezi kuelewa yanenayo akili kubwa
  5. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni utoto, ya nini kujisifia mmewasajili wachezaji ambao hamjawasajili?

    Pilipili usiyoila yakuwasha nn! pooovu
  6. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kila mstari ulioandika ni kama umenisikiliza nikiongea na shabiki mwenzangu wa utd hapa! its very true, hapakuwa na tishio lolote kwetu kujihami kiasi kile, mwalimu ametufanya kuamin kwamba city ni threat and so tutafte point 1 na matokeo yake tumepoteza
  7. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Tatzo kubwa linaloleta haya yote ni kwann wakosoaji tu ndio wanaandamwa na dola
  8. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Vingine unasema ukweli lkn basi itoshe kuamini kuwa unavyokosea huvifahamu! Hivi kard Pengo ndiye mkuu wa maaskofu katoliki Tanzania? ndomana naamini huijui vyema hierachy ya kanisa katoliki
  9. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Toa kwanza hofu uliyonayo iwe rahisi kueleweka! serukali ni miungu au niaje mkuu mpaka ijue kila kitu..
  10. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Kama alitunza siri ww umeyatoa wapi au ndo mwandani wake
  11. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake

    Maneno yako yamejaa ubaguzi na hofu
  12. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Timu za Premier League Zaweka Rekodi....

    EPL wana nafasi 4 tu kufuzu UEFA.. Siku zote mshindi wa EUROPA anafuzu moja kwa moja UEFA msimu unaofuata! Hili ndio limefanya UK wawe na wawakilishi 5 msimu huu
  13. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Hivi Dunia Inakubali Vipi Kutawaliwa na Marekani

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  14. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Afrika wanatoa dawa nyingi zaidi kwa wagonjwa kinyume na maelekezo ya WHO

    Huhitaji elimu kubwa kuelewa comment hii! Good to hear
  15. Mrsir B

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Afrika wanatoa dawa nyingi zaidi kwa wagonjwa kinyume na maelekezo ya WHO

    Nimejikuta napenda ulivyomalizia comment yako!
Back
Top Bottom