ni kweli unayosema ndugu lakini unajua kaika mahusiano jaribu kutengeneza mazingira ya kutozoeana ili ahadi zenu zitimie.
binti wa kuoa utamwona ata mwonekano wake, yupo simple, anafahamu maisha i mean hayupo after pesa sana.
tatizo ninyi manatongoza kwa kupitia vitu ka pesa, gari na mali...