Hii ni kweli aisee nina kiwanja pia nilinunuaga mwaka 2018 kuanzia mwaka juzi nimewakabidhi madalali waniuzie, ofa wanazopata ni pungufu hadi ya ile niliyonunulia... Saa hzi natafuta mteja atakayefika angalau bei niliyonunulia basi nikitoe tuu...
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Ninahitaji vijana wenzangu watakaokuwa tayari tushirikiane kufanya kazi kwa kutafuta masoko ya bidhaa zetu ambazo ni mafuta ya kupikia ya alizeti na sabuni za maji (huko mbele Mungu akijaalia tutaongeza bidhaa). Ofisi ipo...
Dah yaan mkuu umeandika kwa lugha rahisi lakin nimeonja maumivu yako, Tuwe na Imani kuwa maisha yetu tayari yalishapangwa na Mungu hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya... Ni Mungu anaruhusu ili kusudi lake litimie....
Guys hali ni tete sana mtaan, especially kwa tusio na connection kabisa, sasa JF ndo naiona kama connection yangu, ombi langu kwa wenzetu mliopo chomboni tayari kama kuna namna yoyote mnaweza kutushika mkono au kutulengesha kwa mtu anayeweza kuwa msaada plz msisite kufanya hivyo... Maana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.