Recent content by Mr's goole

1. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Cost ya kushape meno

Mpeleke Hospitali watamng'oa meno. Kuhusu bei watakutajia wenyewe. Nilishawah kumpeleka mtoto wa rafiki yangu,
2. Mr's goole

JamiiForums Tanzania nawezaje kupunguza matiti makubwa

wee! Ucmpimie.. mwenzio anajiona bado binti. Tena kakosea ilibid aseme mtoto wa miaka 5+30.
3. Mr's goole

JamiiForums Tanzania nawezaje kupunguza matiti makubwa

Dada unamkosoa mungu? Usipojikubali nani ataktkubali, acha ushamba, kwan hayo matiti watoto hawanyony? Unataka upunguze il iweje! Mumeo kakupenda vle ulvyo, ila kuna dawa za kchna tafuta unywe!
4. Mr's goole

JamiiForums Tanzania nawezaje kupunguza matiti makubwa

we umekosea njia. Political issue? Hapa ni jf doctor.
5. Mr's goole

JamiiForums Tanzania It was so suprising, so amazed to see my fellow jf member in my wedding

Hongera sana, mungu awabariki.
6. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Hizi herufi kwenye thread ni virus?..

Ukizifuta hazitokei
7. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Today is my birthday - Papason!

happy birthday papaa!
8. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Amen bwana Elli. Mungu akujaalie. Nilichanganykiwa ila kwa sasa nipo safi. Nashukuru kwa ushauri wenu wadau, hata huyo aliyeniambia nijiandae kuachika mungu ambariki ampe uzao kama wa mfalme suleiman.
9. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Loly Nitafuata ushauri wako.
10. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Thank you pm. God bless you.
11. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

U.T.I husababshwa na fungus. Hasa wakat wa kujamiiana ambapo minyoo hutoka ktk ****** na kuingia kwenye uke kupitia njia ya mkojo. Hvyo unashauriwa kutoa mkojo baada ya kujamiana hi husaidia kuwaflash wadudu. Wanawake hupata kwa urahc kwa 7b tupu zao zpo nje hvyo anapochuchumaa hukarbia zaid...
12. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito. Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote kuzuia mimba. Nimekunywa dawa na kuonana na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake naambiwa sina...
13. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Wadau nipokeeni.

Duh kumbe na wewe mjanja!! Karibu sana mku kwenye bunge la wajanja wenye akili.
14. Mr's goole

JamiiForums Tanzania Nauza subwoofer

Back
Top Bottom