Recent content by Mrs Dee

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Sio kanda Mi nishashuhudoa wa mbeya Ana gombeza mume wake kama mtoto Dah ni tabia tu ya mtu
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Hata kama sio mtu wa kupiga Dah huyu mwenzetu kazidi aisee Anatabia mbaya zote za kike na za kiume zote mbaya Dah mwizi?? Mcheza kamari ana pigana?? Duh analeaje watoto
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Nilifikiri ni mwanaume unamuelezea kumbe mkeo Dah mbona kazidisha kipimo cha kuvumilia Kwanini ni mwizi na mcheza kamari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

    Akipatikana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

    Hii ni mara ya pili bon yai anaandika kuhusu wale vijana wa k.koo watano Waliniuma sana nikaassume ndo kuna mdogo wangu Je kuna mtu anajua lolote kuhusu wale vijana
  6. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Hawatoi ajira kwa degree hata hao tpdf Si umeona tangazo juzi😭😭😭😭
  7. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Sababu ni hiyo kweli??
  8. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Aiseee yabid mtu aishie form four tu kwa kweli Maana hizo ada ni mtaji
  9. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Ila form four na six wanaajiri sio?
  10. M

    JamiiForums Tanzania JKT mbona watu wa degree hamuawachukui mara nyingi wanatoboa mkataba

    Kwa miaka zaidi ya minne mfululizo wale vijana walioko makambini hamuwachukui wenye degree kwa ajili ya ajira Na kama mkiwachukua huwa mnadonoa tu Ila wa form 4 na form 6 ndo mnawa pendelea Hivi majui kwamba mnazidi kuongeza wimbi la jobless wengi wenye degree mtaani tunaomba mliangalie hili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo tafadhali

    Bei poa kama shingap
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo tafadhali

    Nipo dar ila nina acces na masaini huko...eneo linaitwa naibili sanya huko.. Tunanunua na kuuza kwa bei ya chini tena baada ya kukaa nao kidogo.faida sijaiona bado
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo tafadhali

    Mbuzi unawanunua wapi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

    Kuingiza nchini ku import
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

    Katika hili naona wengi hatujui
Back
Top Bottom