Recent content by mrishow1

  1. mrishow1

    Usioane na Mtu kisa tu Mnapendana

    Tuoe tunaowachukia
  2. mrishow1

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Reset password kwa email ulotumia KUFUNGUA AKAUNT
  3. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Nenda kwenye taarifa binafs chini Kuna maneno oanisha taarifa za NECTA kidato Cha 4 oanisha apo alafu rud jaza Tena kwenye six
  4. mrishow1

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Ukikamilisha tu utaona ujumbe kwa juu mamombi yametumwa tamisemi kikamilifu
  5. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Apo shida niwew Sasa huenda email unayoingiza sio sahihi ndo Mana wanakupa huo ujumbe
  6. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Kuna options mbil pale, kuondoa na kubadil sasa kiweka upya maana umekiiondoka hvyo add tena
  7. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    KWA WANAOPATA CHANGAMOTO YA KURESET PASSWORD Kwenye sehem ya index number wakati unareset password weka Email yako ulotumia wakat unafungua akaunti. Utatumiwa nywila ako
  8. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Nenda kwenye taarifa binafs, chini Kuna maneno "oanisha taarifa za necta" ingiza taarifa zako then itajset
  9. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Wanapokea bhana acha kupotosha jamaa ametoka ongea nao mda si mrefu
  10. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Kama ushawah fungua akaunt kwa index ya form 4 huwez fungua Tena akunt kwa namba hio
  11. mrishow1

    Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

    Mm natumia majina mawil kwenye vyeti na mwaka Jana ilikubal kwa maijina mawl na nkaaply
Back
Top Bottom