Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Namaanisha machaguo maximum ni shule tano ila unaweza kuchagua pungufu ya hapo kutegemeana na kipendeleo chako
maximum ni matano ila ikitokea ukafiluta ili uadd machaguo mengne ukirefresh page machaguo yote yanarudi hata uliyoondoa
 
Mtori huu nyama zinanukia ndani
Mwifwa habari. Wakati najaza taarifa sijaona mahala pakupakia CV lakini kwenye maelekezo wamesema tuambatanishe. Nisaidie kama unajua ni wapi nimekosea mkuu.

Untitled.png
 
Reset password utumie account yako ya zamani. Mfumo haukubali mtu mmoja kuwa na account mbili tofauti
Nimejaribu kufanya hivyo ila system inanipeleka kwenye account hii mpya badala ya ile ya zamani. Hakuna njia ya kuifuta hii account mpya?
 
Nauliza ukishamaliza kujaza maombi yanaenda yenyewe moja kwa moja?mbona sion sehemu imeandikwa send?au nyie mmefanyaje?
 
Mimi kila nikijaribu kuingia naambiwa unathorised user jaman naombeni msaada wandugu kijana wangu atakosa nafasi
mkuu unakosea kitu either passwed au user name, jarbu ingia hv mfano s1245-0076/2014,au inasumbua wapi,nipe nmba yako nkuunge kwenye group flan watu watakusaidia zaid
 
mkuu unakosea kitu either passwed au user name, jarbu ingia hv mfano s1245-0076/2014,au inasumbua wapi,nipe nmba yako nkuunge kwenye group flan watu watakusaidia zaid
mkuu msaada na mimi kuna shida huu mfumo kama wanaweza kunisaidia. PM yako umefunga
 
Back
Top Bottom