Hoja yangu viwanja vingi vinamilikiwa na ccm je?walivijenga wao au ni nguvu ya wananchi na kama wamejenga wao nchi fedha walipata wap tunahitaj maelezo kutoka kwa ccm na wazir wamichezo tunahitaj mali za wananchi wote sio chama
1.Elimu
2.Maradhi
3.Umaskini
Kukosa maji kununua ndege ni sawa kurudia uchaguzi kukosa madawa na maabara za kutosha ni sawa kipaumbele n nn amakwl ipo siku mtakosa ahadi na ilan zenu sijui mtaanfika nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah duuh utaratibu mzur ukihamia ccm unacheo tu pole wakeleketwa na chama mmevuja jasho walaj wengine aaaah makada hatuwatak mjipange wanao hamia ndio habar yaCCM
Naomba maoni na mitazamo yenu kuhusu hali ya nchi juu ya haki ya raia kujieleza au kutoa maoni yake nashangaa kila kukicha habar za kuzuiwa bila sabab hiyo sio kwa wanasiasa tu bali hata wasio jihusisha na siasa je kwl dola inaminya uhuru na kuvunja matakwa ya katiba #Tuzungumze wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.