Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Unadhani kwanini bashiru kapiga kimya? Keshaona mambo siyo. Jama analazimisha mambo kipumbavu.wenye akili watakaa kimya.Ccm kuna watu waliosoma kweli?au maboya Kwa haya yanayoendelea kama ni Mimi bashiru ningemwachia chama mkuu Kwa kujiudhuru