Recent content by mrisho abdi58

  1. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal ( the gunners ) mtawaelewa tu

    Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa. Sasa story hii kama inataka kufanana ya arsenal baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NIT kulikoni mpaka sasa hawajatoa selection

    Ndugu wapendwa hv hawa nit taratibu zao zinaenda vp maana Mimi siwaelewi hadi Leo hii trh 23 mwez wa Tisa hawajatoa selection hv ni kawaida yao au ni kwa mwaka huu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

    Oya hashimuboy embu nipe mamba zako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu coz ya transport and logistics management

    Wana forum habar zenu Mimi nilienda kuapply pale nit mabibo hv vp kuhusu coz niliyotaja hapo juu ina soko kwa hapa kwetu Tanzania alafu naombeni mnijuze ubora wa chuo kile au mbambalambala tyu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

    Kama sio chuo kipe jina kama
  6. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

    Babu Mimi nimeapply coz ya trans and logistics
  7. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

    Ila ndugu Mimi nilienda kuchukua form pale pale chuo lkn cha ajabu kuna code wamenitumia (activate code) alafu mm sijaaply online
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nataka kujua kuwa nit washatoa majina

    Mm nataka kujua HV chuo cha usafirishaji kilichopo mabibo washatoa majina ya waliioomba kujiunga na coz ya logistics and transport management ngaz ya cheti
  9. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

    Hv nit wameshatoa majina ya walioomba kujiunga na chuo chao maana deadline ilikua 30/8/2017
Back
Top Bottom