Mwenye uelewa kuhusu coz ya transport and logistics management

mrisho abdi58

Member
Sep 20, 2017
11
1
Wana forum habar zenu Mimi nilienda kuapply pale nit mabibo hv vp kuhusu coz niliyotaja hapo juu ina soko kwa hapa kwetu Tanzania alafu naombeni mnijuze ubora wa chuo kile au mbambalambala tyu
 
Unafanya vip application alafu ndo utafiti wa ajira ufuate, ulipaswa kufanya research ya ajira kutokana na fani unayotaka kusomea ndo ufanye maombi any way N.I.T ni chuo bora katika maswala ya usafirishaji na ajira katika kada hiyo zinapatikana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom