Sasa mambo kuanza kuwa hadharani udahili vyuo vikuu kuanzia tarehe 25/09/2017

Ijumatatu=Jumatatu (umerudia mara mbili)

Kama kweli watatangaza waliopata multiple selections kabla ya tarehe 2.10.2017 watakuwa watu wa ajabu sana sana kwani baadhi ya waombaji watafahamu wamechaguliwa na baadhi watakuwa hawana taarifa kama wamechaguliwa au wame kosa. Kwangu mimi hicho ni kitu cha ajabu chenye utata mkubwa. Inatakiwa selections zote zitoke wakati mmoja na wale wenye multiple selections ndo wapewe muda wa kuamua waende wapi. Hivyo nina wasi wasi na source yako.
Mzeee unasoma uzi kama editor hatari
 
Mtoa maada kadanganywa hicho kitu kikitokea naomba nipelekwe kusikojulikana
 
Kwa habari nilizozipata kutoka kwa mmoja wa wahusika wa udahili wa vyuo vikuu 2017/2018 zinadai siku ya tarehe 25/09/2017 jumatatu vyuo vikuu vilivyopokea applications za undergraduate degree zitawasiliana na wanafunzi ambao wamechaguliwa chuo zaidi ya kimoja, lengo likiwa ni ku-clear multiple admissions, zoezi hili limepangwa kudumu kwa siku 3 tu kuanzia tarehe 25/09 mpaka 27/09 na mwanafunzi atatakiwa ku-confirm nafasi yake katika chuo anachopenda kuanza masomo ndani ya huo muda na si vinginevyo.

Chanzo changu cha habari kimedai kuwa mawasiliano hayo yatafanya kupitia emails na application accounts walizofungua wanafunzi wakati wa kufanya maombi.

Hivyo ningependa kuwasihi wale wote ambao wamefanya maombi kwenye vyuo zaidi ya kimoja kuwa macho ndani ya huo muda uliotajwa ili kutopoteza nafasi yako katika unachokipenda,

Ikumbukwe kwamba jumatatu ya tarehe 2/10/2017 ndio siku ambayo vyuo vikuu nchini vinatarajia kutangaza officially majina yote ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo 2017/2018:

Tunakaribisha maswali, hoja, dukuduku, povu, ushauri, mchango, kukosoa, n.k
Ahsanteni
Sasa una-confirm wapi? TCU au kwenye chuo unachokitaka? Tatizo ninaloliona ni ku-jam kwa mtandao. Watu wengi wakihitaji kutumia mtandao kwa wakati mmoja mtandao huwa haupatikani. Na kwa vile siku ni chache hilo litakuwa tatizo kubwa sana ' japo ni tatizo la kujitakia. Inawezekana kabisa kutengeneza mfumo wa vyuo vyenyewe kufanya udahili na ukaruhusu wanafunzi kufanya preference zao hata kama ameomba vyuo na kozi mbalimbali.
 
Kwani aliyesema tarehe 14/9 ilitokea. Vijana wasubili mpaka October 2 kama walivyotoa kwenye bandiko lao.
 
Hz taarifa co rasmi!!!
Mana hata ukiingia kwnye website ya tcu hamna jipya kabsa......sa hz habar cjui wanazitoa wap
 
Back
Top Bottom