Recent content by Mringo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    You can use the equation for the Rydberg constant to express the ratio of the electron mass to the proton mass for both hydrogen and helium in terms of the Rydberg constant and the mass of the nucleus: me/m_p = 1 - R_H/R_infinity me/m_p = 1 - R_He/R_infinity Taking the ratio of these two...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. nina uzoefu mdogo tu kaka wa miaka 10 ya ndoa. So bado mengi sijayajua
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

    Ndugu yangu usisahau kua mkeo io mpishi wako, yeye kukupikia anakusaidia kwahiyo usichukulie poa msaada anaokupa. Pili usisahau wanawake wana majukumu mazito sana ya kuratibu na kutekeleza shughuli za nyumbani kuzidi hata hizo zako za ofisini. Wewe kupata mshahara na kuleta pesa nyumbani sio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu hii ofa naweza kuipata?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Matapeli kazini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Hata mimi yakwangu ni SSD Nvme.M2 thunderbolt
  7. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Hatimaye nimefanikiwa ku upgrade kwenda windows 11 kwa kufuata ushauri wenu humu, ahsanteni sana. Nilichokiona so far nikuchelewa kidogo kwenye kuboot tofauti na windows 10. 1. Kuboot mpaka kufikia kuweka password imetoka wastani wa 6 sec kwenda 11 sec 2. Kuwaka kabisa mpaka kuweza kufanya kazi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Nimetumia tool ya github ya kuwdit registry ikawa bado inakataa, then nikachagua option ya kucheki update then ikavuka.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Nimejaribu kufuata njia za kuedit registry iliyooneshwa humu na nyinginezo ila kihunzi hakijavukika bado
  10. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Ahsante mkuu nitaipitia hii nione ingawaje nimeoma wanasema requirement ya tpm 1.2 ipo, ila sijajaribu bado ku edit registry nikaona kama itavuka au la.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Nikigusa SPM hizo ndio option zilizopo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Mimi sijasomea IT ila walau nina experience ya 20+ years ya kudeal na pc zangu mwenyewe na za washkaji. Mimi nipo Dodoma ndugu sijajua nawr upo mkoa huu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Hata kwa hii njia inaniambia TPM 1.2 not found or disabled..
  14. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Windows 11 upgrade

    Hp Probook 440 G7 intel core i7-10510U CPU@1.80GHz, 16GB Ram
Back
Top Bottom