Windows 11 upgrade

Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisa
JPEG_20211006_134128_4309701531675151056.jpg
 
Nimenavigate kwenye bios kila option sijaona hiyo kitu. Na kwenye device manager hakuna hiyo security devices pia. Nami niliangalia specs za hii pc kwenye mtandao zinaonesha tpm 2 ipo ila kwakweli sijaiona kabisaView attachment 1965472
Mkuu kwani wewe ni IT? Kama siyo unaonaje nimtume kijana aje hapo kukurekebishia vitu vingine tugawane tu majukumu.
 
Mkuu kwani wewe ni IT? Kama siyo unaonaje nimtume kijana aje hapo kukurekebishia vitu vingine tugawane tu majukumu.
Mimi sijasomea IT ila walau nina experience ya 20+ years ya kudeal na pc zangu mwenyewe na za washkaji. Mimi nipo Dodoma ndugu sijajua nawr upo mkoa huu.
 
Hata kwa hii njia inaniambia TPM 1.2 not found or disabled..
Official Microsoft wame confirm Tpm si lazima, ila wameonya mbele ya safari unaweza usipate security updates.

Kuna tool pia hapo kwenye link ya kutengeneza image ya win 11 isio hitaji Tpm
 
Ahsante ndugu, nimwingia kwenye bios setting zote zipo kama ulivyonionesha hapo juu.. hii tafsiri yake nikua nilazima nifanye fresh install na siwezi kutumia windows 11 installation assistance?. Changamoto nitapoteza software ambazo sitaweza kupata licence zake kwa sasa.. Pili nilisoma pahala kua ukibypass windows haitakua supported so updates hazitaingia sijajua kama lina ukweli wowote. Je PC yako kwenye bios security option naweza kupata picha nifananishe na ya kwangu. AhsanteView attachment 1965007View attachment 1965014

Kwako iyo spm ndio kama TPM kwa sisi wengine boss
IMG_0112.jpg

IMG_0113.jpg
 
Ahsante ndugu, nimwingia kwenye bios setting zote zipo kama ulivyonionesha hapo juu.. hii tafsiri yake nikua nilazima nifanye fresh install na siwezi kutumia windows 11 installation assistance?. Changamoto nitapoteza software ambazo sitaweza kupata licence zake kwa sasa.. Pili nilisoma pahala kua ukibypass windows haitakua supported so updates hazitaingia sijajua kama lina ukweli wowote. Je PC yako kwenye bios security option naweza kupata picha nifananishe na ya kwangu. AhsanteView attachment 1965007View attachment 1965014

Tatzo litakua kwenye izo license za software ila updates utapata kama kawaida..
 
Official Microsoft wame confirm Tpm si lazima, ila wameonya mbele ya safari unaweza usipate security updates.

Kuna tool pia hapo kwenye link ya kutengeneza image ya win 11 isio hitaji Tpm
Ahsante mkuu nitaipitia hii nione ingawaje nimeoma wanasema requirement ya tpm 1.2 ipo, ila sijajaribu bado ku edit registry nikaona kama itavuka au la.
 
Wandugu kama tufahamuvyo windows 11 imeanza ku roll leo na wale wenye pc za maana wataanza kupata upgrade hii. Naona kizingiti kikubwa cha windows hii mpya kipo kwenye requirement ya TPM module ambayo pc nyingi hazina. Mie nimenunua pc mpya majuzi tu aina ya probook 440 core i7 10th Gen, ila nimejikuta nje ya ulingo.

Je tunaweza kufanyaje kuruka hiki kihunzi??
Nimeipokea leo na hp elite book 840
 
Official Microsoft wame confirm Tpm si lazima, ila wameonya mbele ya safari unaweza usipate security updates.

Kuna tool pia hapo kwenye link ya kutengeneza image ya win 11 isio hitaji Tpm
Nimejaribu kufuata njia za kuedit registry iliyooneshwa humu na nyinginezo ila kihunzi hakijavukika bado
IMG_20211007_115849_201.jpg
 
Hatimaye nimefanikiwa ku upgrade kwenda windows 11 kwa kufuata ushauri wenu humu, ahsanteni sana. Nilichokiona so far nikuchelewa kidogo kwenye kuboot tofauti na windows 10.
1. Kuboot mpaka kufikia kuweka password imetoka wastani wa 6 sec kwenda 11 sec
2. Kuwaka kabisa mpaka kuweza kufanya kazi imetoka wastani wa 15-20 Sec kwenda 40-46 Sec.

Ahsante sana, labda nawengine munipe experience zenu
View attachment 1967047
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom