Recent content by Mrengo Hans

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi Leo ametembelea Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Ni mjanja Jaji Mutungi anaisoma serikali ijayo ilivyo chini ya chadema.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Hizi ni Harakati za ukombozi. Wewe endelea kuchangia mafuta ya mbio za mwenge wa ccm.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Bora hizi zitaleta ukombozi kuliko zile zinazoitwa za mboga ambazo ni za wahuni wachache.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Hawa watu 11,000 walioview hii thread maana yake wangekuwa wamechangia Tshs 1,000 tayari sadaka ya ukombozi ingefika Tsh 11,000,000. Hii sadaka ingetosha kufanya mikutano kumi mikubwa ya ukombozi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Haya ndio mambo ya kujadili sio ACT.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Huu ni mkakati mzuri sana ukombozi 2015. Mpaka kieleweke.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Harakati ya ukombozi - Jiunge nasi kwa kuchangia CHADEMA Kanda ya Kaskazini

    Pamoja makamanda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Maigizo ya kinana na nape arusha.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Alphonce Mawazo sasa hivi ni mwenyekiti wa cdm mkoa wa geita
  10. M

    JamiiForums Tanzania Harusi ya James Ole Milya - Mei 03, 2014

    Mke wa milya ni gamba? Tangia ameoa milya amepoa kabisa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya CHADEMA ni mtetezi wa wanyonge au Mnyang'anyi wa wanyonge?

    Ukimya..? Ukweli?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    James Milya yuko wapi?
Back
Top Bottom