Aliwahi kusema Mwalimu Nyerere kuwa ili maendeleo ya kweli yawezefikiwa moja ya vigezo vya kuzingatowa ni Siasa Safi na Uongozi bora.
Siasa safi niliyoielewa mimi ni pale panapokuwa na uhuru wa kufanya shughuli za kisiasa kwa maana ya kuwa wananchi wana uhuru wa kushiriki siasa kupitia vyama...
Siku ya udhamini 19/6/2015 mkoani kwa E. Lowassa.
Majira ya saa nane, EL ametinga ofisi za CCM mkoa akiambatana na marafiki zake na amekutana na umati mkubwa uliojitokeza kumpokea.
YALIYOJIRI:
1. Wakati anaingia ofisini, alishindwa hata kutoa mkono kwa wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa...
NIMESIKIA LA NCHIMBI NA MUHONGO, LA LOWASA, KARAMAGI NA RICHMOND LINI?
Kwa kipindi kirefu kidogo Chama Cha Mapinduzi kimekuwa katika ombwe la kutafuta WanaCcm Ambao wataweza kupeperusha Bendera kwa ajili ya chaguzi zijazo.
Mizozo imekuwapo hasa kutokana na makundi yanayohasimiana ndani ya...
Alianza na KUTENGANISHA KOFIA YA URAISI NA UENYEKITI WA CHAMA akashindwa
Akaja na KUHAKIKISHA SERIKALI HAITAWALIKI akashindwa
Akaja na KUMNG'OA WAZIRI MKUU akashindwa
Sasa amerudi na
-KUIKATAA KAMATI KUU
-KUHOJI KUTOFAA MWENYEKITI WA CHAMA
-KUFUNGULIWA KWA LOWASA TOKA KIFUNGONI...
Leo majira ya mchana ndani ya maeneo ya Musoma mjini mkoa wa Mara tulipata ugeni.Na mgeni huyu sio mwengine ni Edward Ngoyai Lowassa.ilikuwa ni ugeni wa ghafla na kwa kweli kwa ughafla wake tumejionea mengi.Kuanzia afya yake aliposaidia kushushwa na kupandishwa kwenye ndege na pili jinsi hela...
UKWELI KUHUSU "MAZOEZI" YA LOWASSA
Mimi ni Mwandishi wa gazeti la Mwananchi. Wiki mbili zilizopita tulikuwa na mjadala mkali sana kwenye kikao cha uhariri cha kuamua habari kuu za gazeti. Mjadala ulikuwa juu ya picha iliyotumwa na mpiga picha wetu kutoka Dodoma. Kuna baadhi ya wenzetu walitaka...
Waliwahi sema wahenga kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja.baada ya tetesi naona Nape amewafanya mujidhihirishe.
Mafisadi wamewatumia mmekuwa wajinga sasa watoa rushwa.vyeo vinagaiwa kindugu, hivi ni kwa kikwete ambao wako bagamoyo tu au hadi wengine.Angalia arusha toka Arumeru hadi...
Mabaunsa wa chama ujitambulisha kwa sare zao.hawa ni wale wa ukumbi wa disco.nawaona wa billicanas na wengine wa kwa kimbau pale kijitonyama.sidhani kama hawa wana mahusiano na jumuiya ya vijana.
Napendekeza sasa itangazwe ajira ya mabaunsa maana vijana wa ccm wamekuwa waregevu na wala...
Kwani ule utaratibu wa vijana wa mwenyekiti wao kulindwa na green guard umekufa hadi kiongozi wao achukue mabaunsa?
Hizo ni dalili mbaya kwa utaratibu ambao chama hiki kikongwe kimejiwekea.
Ukisoma alichoandika kibanda napata shida na Shaka kuamini Kama Mtu mzima kweli anaweza andika haya aliyoyaandika. Nilivyoelewa mimi ni kwamba kama amepatwa na uwoga vile au alikuwa hajuinkuwa muandishi kuandika,wananchi kusoma na vyombo vya usalama,kuuliza kama wanaona yaliyoandikwa...
hali zenu wana jamii wenzangu, hebu tuanze jadili mambo hapa. tuweke hadharani haya ambayo mimi na wewe tunayajua kuhusu huyu kijana RIDHIWANI .
maana nasoma mengi na yote yanakuwa kama vile maneno ya juu juu. tuandike vitu na kuweka ushahidi mbele. maana kama ni marafiki ridhiwani anao wengi...
wajukuu zangu hali zenu,
kwanza niwakumbushe kitu kimoja, .....HAKI BILA YA WAJIBU, FUJO.....................
ni kweli nakubaliana nanyi wana jamii wenzangu juu ya maono yenu kwamba uenda wabunge waliotolewa wameonewa kwa namna moja au nyengine lakini hivi ni kweli, katika maeneo yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.