Mimi nitakusaidia kazi hiyo, nina mafundi wa kutosha, nina ofisi mbili tabata kimanga stendi kabisa, na pia tabata DA WEST.....kARIBU SANA,bei naamini hatutashindana, kazi, ubora wake ndio la msingi kwanza...Sample nitakushonea bure.
pia naweza kuja ofisini kwako,tukaongea vema, ili kuokoa muda...