Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji.natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu, net salary ni 3,264,000 na January net salary itakuwa 3,600,000. Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam.Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000.
Natanguliza shukrani
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000.
Natanguliza shukrani