Recent content by mraba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Range Rover luxurious zaidi duniani lazinduliwa Marekani

    hii mbona wabongo wanayo huyu kachelewa kujua ndio anapost leo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Mada yako niyakijinga,kumiliki silaha sio tatizo,wanauwawa wachumgaji,maaskof,mashehe,mhalifu anapokuvamia anaomba mungu kama anyoomba yeye,silaha nimuhimu kwakujilinda na maadui,sioni kosa gwijima kumiliki silaha au kulindwa,angalia vitu vyakuandika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    wewe kama unaona hafai usimpigie kura,wale tunaona alicho kifanya tunamtaka asimame na kwajasho na nguvu yetu atashinda 2015 ni Lowassa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu mmiliki wa hiki kituo kipya cha Radio (E-FM)

    Nolitegemea nipate jibu nisilolijua kinachojiri humu pumba tupu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

    Huyu dogo ----- anadhalilisha wanaume,anajisifia kupigwa??hovio kabisa
Back
Top Bottom